Friday, June 26, 2026
Home 2023 January 10

Daily Archives: January 10, 2023

DKT. MFAUME AITAKA MLOGANZILA KUWAJENGEA UWEZO WATAALAMU WA WA RRH.

0
Mganga Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Dkt. Rashid Mfaume ameitaka Hospitali ya Taifa Muhimbili Mloganzila kuendelea kuwajengea uwezo wataalamu wa Hospitali za...

DKT. KIRUSWA AIOMBA BENKI YA DUNIA KUWEZESHA TAFITI ZA MADINI MKAKATI KWA NCHI WAZALISHAJI

0
Riyadh, Saudi Arabia Naibu Waziri wa Madini Dkt. Steven Kiruswa ameiomba Benki ya Dunia kuwezesha kufanyika kwa tafiti za kina kwa nchi zenye utajiri wa...

TANZANIA YAPOKEA MSAADA WA VIFAA VYA KUJIKINGA NA MAGONJWA YA MLIPUKO

0
Serikali ya Tanzania imepokea msaada wa vifaa vya kujikinga na magonjwa ya mlipuko kwa ajili ya watumishi wanaotoa huduma za afya na wateja wanaowahudumia,kutoka...

KILA RC,DC TANZANIA ASIMAMIE ZOEZI LA UPANDAJI MITI KATIKA MAENEO YAO ILI KUFIKA LENGO...

0
NA MWANDISHI WETU Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo amewataka wakuu wa mikoa na wilaya kusimamia zoezi la...

MAKAMU WA RAIS AFUNGUA SKULI YA KWALE PEMBA

0
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango leo tarehe 9 Januari 2023 amefungua rasmi Skuli ya Msingi ya...