Monday, November 23, 2026
FAHARI AFYA
Home 2023 January 4

Daily Archives: January 4, 2023

VIONGOZI WA VYAMA VYA SIASA WATOA PONGEZI KWA RAIS DKT. SAMIA KUFUNGULIA MIKUTANO YA...

0
Na Magrethy Katengu BAADHI ya viongozi wa vyama vya siasa nchini wameshukuru hatua iliyofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan ya kufikia maridhiano na vyama hivyo...

Pochi la Mama kusajili wanafunzi 9226 kidato cha kwanza 2023 Kwimba

0
Mradi wa Ujenzi wa Madarasa kwa ajili ya mapokezi ya Wanafunzi wa kidato cha kwanza 2023 (Pochi la Mama) wafanikisha kuchaguliwa watoto 9226 kwa...
Kufufua Kamati, Usimamizi, Miongozo

Boresheni Usimamizi wa Miongozo na Kufufua Kamati za Huduma za Afya Prof. Makubi

0
Na.WAF,BundaVituo vya Afya na Zahanati nchini vimetakiwa kuboresha usimamizi wa miongozo na kufufua kamati za huduma za afya. Hayo yamebainishwa na Katibu Mkuu wa Wizara...

MSHINDI WA CHOMOKA NA NDINGA YA PARIMATCH AKABIDHIWA GARI LAKE

0
Na Magreth Mbinga Mkazi wa Lindi Hamidu Mohammed Abdallah(28) leo Januari 4 ,2023 amekabidhiwa rasmi gari yake aina ya Toyota Urban Cruiser yenye thamani ya...
KATAVI, KAMPUNI, KUSAMBAZA

RC KATAVI AZISHUKIA KAMPUNI ZA KUSAMBAZA MBOLEA KATAVI

0
📌📌 AZITAKA KUACHA VISINGIZIO KUSAMBAZA MBOLEA KWA WANANCHI BADALA YA KUFICHA. Mkuu wa Mkoa wa Katavi Mhe.Mwanamvua Mrindoko ameziagiza kampuni za usambazaji mbolea ya ruzuku...

WATUMISHI WATAKIWA KUTOA HUDUMA BORA KWA WANANCHI

0
Naibu Waziri wa Wizara ya Afya amewataka watumishi wote kutoa huduma bora kwa wanachi ili kutimiza adhima ya Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan. Mhe....

DKT. BITEKO ASISITIZA WACHIMBAJI KUZINGATIA SHERIA NA MIONGOZO INAYOSIMAMIA SEKTA YA MADINI

0
Waziri wa Madini, Dkt. Doto Biteko amewasisitiza wachimbaji wa madini nchini kuzingatia Sheria, Kanuni, Taratibu na Miongozo inayosimamia Sekta ya Madini ili wachimbe rasilimali...
JATU, MTAALAM, KUTOKA

JATU YAPOKEA MTAALAM KUTOKA NCHINI UHOLANZI ILI UWEKEZAJI WA KILIMO UONGEZEKE

0
NA Magrethy KatenguUONGOZI wa Jatu ukishirikiana na Bodi ya Wakurugenzi ya JATU PLC umepokea ugeni wa mtaalamu wa masuala ya fedha, miradi na bishara...
Celebrating 25 Years of NHIF
FAHARI AFYA