Friday, June 26, 2026
Home 2023 January 7

Daily Archives: January 7, 2023

WANAFUNZI WA VYUO NCHINI WATAKIWA KUWA MSTARI WA MBELE KATIKA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI MBALIMBALI

0
Wanafunzi wa vyuo nchini wametakiwa kuendelea kuwa mstari wa mbele katika utekezaji wa shughuli mbalimbali za kuhifadhi na kulinda mazingira ili kupambana na mabadiliko...

SERIKALI YASISITIZA MATUMIZI YA MBOLEA

0
Serikali imehimiza matumizi ya mbolea kwa wananchi wa Kijiji cha Mlali Iyegu kilichopo Kata ya Mlali katika Wilaya ya Kongwa Mkoa wa Dodoma ili...

BIMA YA AFYA KWA WOTE ITAWEZESHA WANANCHI KUWA NA UHURU

0
Na.Faustine Gimu,Wizara ya Afya,Idara ya Kinga,Sehemu ya Elimu ya Afya Kwa Umma Kaimu Mkurugenzi Msaidizi  Wizara ya Afya , Idara ya Kinga ,Sehemu ya Elimu...

WAZIRI MKUU ATOA AGIZO KWA VIONGOZI WA HALMASHAURI

0
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka viongozi wa Halmashauri zote nchini waweke mpango wa namna bora ya kuviwezesha vikundi vya wajasiriamali katika maeneo yao kupitia...

RAIS DKT. SAMIA ATEUA GAVANA MPYA WA BENKI KUU

0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Emmanuel Mpawe Tutuba, Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango kuwa Gavana...

WADAU NA WAFANYAKAZI WA BANDARI YA BUKOBA WAIPONGEZA TAKUKURU KAGERA KUWAFIKISHIA ELIMU DHIDI YA...

0
Na Theophilida Felician, Kagera Wafanyakazi pamoja na wa dau mbalimbali katika bandari ya Bukoba Mkoani Kagera wameishukuru na kuipongeza Taasisi ya kuzuia na kupambana na...

RC CHALAMILA AKIFIKIA KIWANDA CHA CHAI CHA KAGERA TEA COMPANY LTD WAKULIMA WATUA KILIO...

0
Na Theophilida Felician Kagera. Wakulima katika Kijiji cha Ibaraizibo kata Karabagaine Halmashauri ya Bukoba Mkoani Kagera wamekilalamikia kiwanda cha chai Kagera TEA LTD kwakushidwa kutimiza...

” HERITAGE DRINKING WATER MNAISADIA SERIKALI YA DKT. SAMIA KUPUNGUZA TATIZO LA AJIRA ”...

0
Mbunge wa Jimbo la Kibamba Mhe. Issa Mtemvu ( kulia ) akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa huduma ya maji safi na salama ya...

PHILIBERT PASCHAL FOUNDATION YAISHAURI SERIKALI BODABODA KUTOWAPA LESENI MPAKA WAPATIWE MAFUNZO

0
Na Magrethy Katengu Taasisi ya Philibert Paschal Foundation imelishauri Jeshila Polisi Kikosi Cha Usalama Barabarani kutowapa leseni Madereva wa pikipiki za kusafirisha abiria(Bodaboda) mpaka wapitiwe...

WAZIRI BITEKO ATAKA KAMPUNI ZA MADINI UJENZI KUANDAA MPANGO WA UWAJIBIKAJI KWA JAMII

0
*Wachimbaji Mawe ya Madini waaswa kuchimba kwa amani* Waziri wa Madini, Dkt. Doto Biteko ameitaka Kampuni ya Madini ujenzi ya Rocktronic Ltd inayochimba kokoto kuandaa...