RUWASA SUMBAWANGA YAFIKISHA HUDUMA NGAZI YA JAMII
Na.OMM Rukwa
Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) Wilaya ya Sumbawanga imefanikiwa kuunganisha vyombo vya watoa huduma za maji ngazi za jamii...




