DKT. KIRUSWA KUSHIRIKI KONGAMANO LA PILI UZALISHAJI MADINI MKAKATI SAUDI ARABIA
Naibu Waziri wa Madini, Dkt Steven Kiruswa anatarajiwa kuiwakilisha Tanzania katika Kongamano la pili la uzalishaji wa Madini mkakati la Wizara za Madini kutoka...
TIGO WAZINDUA MNARA KALAMBO – RUKWA , WAZIRI NAPE AWAPONGEZA
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, MHE. NAPE NNAUYE,akikata utepe kuashiria uzinduzi wa mnara wa Tigo wilayani Kalambo,mkoani Rukwa,kupitia mradi wa UCSAF(Universal...
MAKAMU WA RAIS KUONGOZA MAPINDUZI DAY KWA KUPANDA MITI
NAMWANDISHI WETU
MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango anatarajiwa kuwaongoza wananchi wa Jiji la Dodoma kupanda miti...






