Friday, June 26, 2026
Home 2023 January 16

Daily Archives: January 16, 2023

Taasisi zinazoendelea na ujenzi wa Ofisi zatakiwa kukamilisha majengo yao kwa wakati Jijini Dodoma

0
Serikali imeziagiza Taasisi zote zinazoendelea na ujenzi wa majengo ya Ofisi zao Jijini Dodoma kuhakikisha ujenzi huo unakamilika kwa kuzingatia taratibu zote za ujenzi...

MABONDIA ZAIDI YA 20 KUPANDA ULINGONI JANUARI 18 NA 28 MKWAKWANI JIJINI TANGA “USIKU...

0
Na Boniface Gideon, TANGA UWANJA wa CCM wa Mkwakwani jijini hapa utashuhudia pambano la mashindano ya ngumi la kufungua mwaka, 2023 wakati mabondia wawili maarufu,...

MAJALIWA: TULINDE MBOLEA YA RUZUKU ILIYOTOLEWA NA RAIS DKT. SAMIA

0
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka wananchi kuwa walinzi wa mbolea ya ruzuku iliyotolewa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ili kuhakikisha inatumika kwa malengo...

KATA YA BAGAMOYO KOROGWE TC YAPATA SHULE YA SEKONDARI

0
Na Yusuph Mussa, KOROGWE HATIMAYE Kata ya Bagamoyo iliyopo Halmashauri ya Mji Korogwe mkoani Tanga imepata shule ya sekondari, na kuifanya Halmashauri hiyo yenye kata...