Friday, June 26, 2026
Home 2023 January 5

Daily Archives: January 5, 2023

TAKUKURU KAGERA YAANZA RASMI KUINADI PROGRAMU YA “TAKUKURU RAFIKI”

0
Na Theophilida Felician Kagera. Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa Takukuru Mkoa Kagera tayari imeenza utekelezaji wa uhamasishaji wa programu mpya ya Takukuru rafiki...

RAIS DKT. SAMIA AFANYA UTEUZI WA VIONGOZI MBALIMBALI

0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 05/01/2023 amefanya Uteuzi wa Viongozi mbalimbali kama ifauatavyo -:

MINADA MADINI YA VITO MBIONI KUANZA

0
#Kampuni ya Tanzanite Experience kinara Utangazaji Madini ya Vito #Dkt. Biteko asisitiza wadau kuwekeza uongezaji thamani madini Waziri wa Madini, Dkt. Doto Biteko amesema kuwa, Serikali...

WAZAZI NA WALEZI WATAKIWA KUELEWA UMUHIMU WA KUWAKATIA BIMA ZA MAISHA WATOTO.

0
Na. Mercy Maimu : Mamlaka ya bima nchini imewataka wazazi na walezi kote nchini kuelewa umuhimu wa kuwakatia bima za maisha watoto ambazo zitawasaidia katika...

CCM KATAVI WAMPONGEZA RAIS KURUHUSU MIKUTANO YA HADHARA.

0
Chama cha Mapinduzi CCM mkoa wa Katavi leo Januari 05 2023 kimefanya kongamano la kumpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu...

RAIS DKT. SAMIA ATENGUA NA KUTEUA IKULU

0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Kamishna Diwani Msuya, aliyeteuliwa kuwa Katibu Mkuu Ikulu Januari 3,...

Wilaya ya Magu yavuka lengo Ujenzi wa vyumba vya Madarasa

0
Bilioni 3.26 zajenga Madarasa 163 wilayani Magu kwa ajili ya kuwapokea wanafunzi wa kidato cha kwanza 2023 na kupelekea wilaya hiyo kuwa na ziada...