SHAMRASHAMRA BURUDANI WIKI YA SANAA TUKUTANE DAR FEBRUAR 1-5
Na Magrethy Katengu
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) Kwa kushirikiana na taasisi ya Nafasi Arts Space wamejipanga kuhakikisha kutoa burudani kwa Watanzania katika wiki...
KATAMBI: SERIKALI IMEANZA KUFANYIA KAZI MABORESHO YA MISHAHARA VYUO VIKUU
SERIKALI imeanza kufanyia kazi suala la maboresho ya mishahara kwenye vyuo vikuu kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia.
Naibu...
MAKAMU WA RAIS AFUNGUA KONGAMANO LA MAASKOFU KUKABILIANA NA BIASHARA HARAMU YA USAFIRISHAJI BINADAMU
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango amesema Tanzania imejitolea kuzuia na kupambana na Biashara Haramu ya Usafirishaji...
ASASI ZA KIRAIA ZAASWA KUSHIRIKIANA NA SERIKALI KUSHIRIKISHA JAMII KATIKA UIMARISHASHI WA HUDUMA BORA...
Na.Faustine Gimu,Elimu ya Afya kwa Umma,Wizara ya Afya ,Sengerema Mwanza.
Rai imetolewa kwa Asasi za Kiraia zinazotekeleza Miradi ya afya katika Mkoa wa Mwanza na...
CCM MAGU YAITIMISHA MAADHIMISHO YA MIAKA 46.
CCM Wilaya ya Magu mkoani Mwanza imeishukuru serikali ya awamu ya sita ya inayoongozwa na Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan kutoa kiasi cha sh. bilioni...
SONGORO MARINE YAONDOA CHANGAMOTO YA USAFIRI GOZIBA
Wakazi wa Kisiwa cha Goziba kilichopo wilaya ya Muleba mkoani Kagera wameondokana na adha ya usafiri wa majini baada ya wadau wa usafirishaji kampuni...
WANAFUNZI WAWILI WAKAMATWA KWA TUHUMA ZA UDHALILISHAJI WA KIJINSIA
Na. Abel Paul wa Jeshi la Polisi
Jeshi la Polisi mkoani Arusha limesema kuwa limefanikiwa kuwakamata wanafunzi wawili wa chuo cha Taasisi ya Maendeleo ya...










