Friday, June 26, 2026
Home 2023 January

Monthly Archives: January 2023

KIGAHE: WAKUU WA MIKOA NA WILAYA KOTE NCHINI KUHAKIKISHA WANAKUWA WALEZI WA JUMUHIYA ZA...

0
Naibu Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe (Mb.) ametoa wito kwa Wakuu wa Mikoa na Wilaya kote nchini kuhakikisha wanakuwa Walezi...

WANANCHI TANGA WALALAMIKIA MKANDARASI XUANYI KUVAMIA CHANZO CHA MAJI MTO AMBONI

0
Na Boniface Gideon, TANGA Wananchi wa Mtaa wa Kongwa Kata ya Mzizima katika Halmashauri ya Jiji la Tanga mwishoni mwa Wiki wamemlalamikia mwekezaji wa Xuanyi...

TWIGA CORPORATION YAIELEZA KAMATI YA BUNGE YA NISHATI NA MADINI MAFANIKIO YA UBIA WAKE...

0
Fedha zilizotumika nchini kutokana na mauzo ya dhahabu zafikia shilingi Trilioni 5.6 Wajumbe wa Kamati wapongeza matokeo chanya ya ubia, yashauri maboresho Kampuni yaanisha mpango wa...

WANAFUNZI WAWILI WAKAMATWA KWA TUHUMA ZA UDHALILISHAJI WA KIJINSIA

0
Na. Abel Paul wa Jeshi la Polisi Jeshi la Polisi mkoani Arusha limesema kuwa limefanikiwa kuwakamata wanafunzi wawili wa chuo cha Taasisi ya Maendeleo ya...

NAIBU WAZIRI MASANJA AHAMASISHA WANANCHI KUPANDA MITI ILI KUTUNZA MAZINGIRA

0
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii ambaye pia ni Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mwanza, Mhe. Mary Masanja amewahimiza wananchi kuwa wahifadhi mazingira...

MWENYEKITI UWT TAIFA CHATANDA AWATAKA VIONGOZI WA UWT KUSIMAMIA VIZURI FEDHA ZA MIRADI YA...

0
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanawake Tanzania (UWT) Taifa, Mary Chatanda amewataka viongozi wa Umoja wa Wanawake Tanzania kusimamia vizuri fedha za miradi ya maendeleo...

MTEMVU: SIMAMENI NA KUIELEZEA MIRADI ILIYOTEKELEZWA NA SERIKALI.

0
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Dar Es Salaam ABAS MTEMVU amewataka wanachama wa CCM kusimama na kuelezea miradi iliyotekelezwa na serikali katika...

BASHUNGWA AITAKA JUMUIYA YA WAZAZI KUTEKELEZA WAJIBU WAO WA MALEZI KWA VIJANA.

0
Mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa na waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa Mhe. Innocent Bashungwa (Mb) amewaagiza jumuiya ya wazazi...

CHONGOLO: DHAMIRA YA CCM NI KUTAFUTA SULUHU YA CHANGAMOTO ZA WANANCHI

0
Katibu mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM, Daniel Chongolo amesema Dhamira ya Chama hicho ni kuendelea kutafuta Suluhu ya Changamoto mbalimbali zinazowakabili Wananchi kwenye...

RC CHALAMILA AKABIDHI PIKIPIKI 342 KWA MAAFISA KILIMO, ATOA MAAGIZO MUHIMU KWA WAKURUGENZI

0
Na Theophilida Felician Kagera. Mkuu wa Mkoa Kagera Mhe Albert Chalamila amekabidhi jumla ya pikipiki 342 zenye thamani ya zaidi ya Shilingi Bilioni moja kwa...