Friday, June 26, 2026
Home 2023 February

Monthly Archives: February 2023

SERIKALI ITAENDELEA KUSHIRIKIANA NA SEKTA BINAFSI-MAJALIWA

0
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali itaendelea kushirikiana kikamilifu na Sekta Binafsi katika utoaji elimu ya ufundi na mafunzo ya ufundi stadi ili kuzalisha...

SERIKALI IKO TAYARI KUWAPOKEA WAWEKEZAJI NA WAFANYABIASHARA KUTOKA UMOJA WA ULAYA

0
Katibu Mkuu Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara Dkt. Hashil Abdallah amesema Kongamano la Biashara kati ya Tanzania na Umoja wa Ulaya lilofanyika Februari...

TANZANIA IMEJIKITA ZAIDI KUTENGENEZA BIASHARA YA USHINDANI- DKT. MWINYI

0
Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Mheshimiwa Dkt. Hussein Mwinyi ameshuhudia utiaji saini wa mikataba mitatu yenye thamani ya Euro million 270 kati ya...

NAIBU WAZIRI MAVUNDE AZINDUA RASMI KAMPENI YA KIJANISHA MAISHA

0
  Na Mwandishi Wetu. Serikali imeendelea kuchukua hatua mbalimbali katika kufanya mageuzi yanayolenga kuongeza tija katika uzalishaji kwa kuboresha miundombinu ya kilimo Pamoja na teknolojia katika...

MSAMA PROMOTION WARUDI KWA KISHINDO, WAIMBAJI NGULI KUTOKA MATAIFA MBALIMBALI KUKUTANA TAIFA

0
Na Magreth Mbinga MKURUGENZI wa Msama Promotion Alex Msama ametambulisha waimbaji kadhaa waliothibitisha kushiriki katika tamasha la pasaka litakalofanyika Aprili 9 mwaka huu Uwanja wa...

Serikali yatoa maagizo kwa wanaofanya uvuvi kwenye vyanzo vya Maji

0
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Khamis Hamza Khamis amewataka wawekezaji wanaofanya shughuli za uzalishaji kwenye vyanzo vya maji kuhakikisha wanatii sheria kwa...

DKT. MPANGO: WATANZANIA TUMIENI FURSA HII KUJIFUNZA NA KUPATA UZOEFU.

0
Kongamano la Biashara na Uwekezaji kati ya Tanzania na Nchi za Umoja wa Ulaya linalofanyika kuanzia tarehe 23 hadi 24 Februari, 2023 limefunguliwa rasmi...

RAIS SAMIA ABORESHA ZAIDI SEKTA YA MIFUGO

0
Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imeahidi kuboresha zaidi sekta ya mifugo kupitia njia mbalimbali. Naibu Waziri wa...

BONDIA SELEMANI KIDUNDA AACHA SINTOFAHAMU KUTOKUFIKA KUPIMA UZITO KWA AJILI YA PAMBANO LA KESHO

0
Na Magrethy Katengu Bondia Selemani Kidunda ameacha sitofahamu kwa Mpinzani wake Raia wa (DRC)Patric Mukala baada ya kutojitokeza kupima uzito ikiwa ni maandalizi ya siku...

VIKUNDI VINNE KATA YA MIKOCHENI VYAPATIWA MKOPO WA SHILINGI MILIONI 160

0
Na Magreth Mbinga Vikundi vinne vya Kata ya Mikocheni Manispaa ya Kinondoni leo April 23 vimepata mkopo wa zaidi ya Milioni mia moja na sitini...