Friday, June 26, 2026
Home 2023 February

Monthly Archives: February 2023

TMA YATOA MWELEKEO WA MVUA MWEZI MACHI HADI MEI 2023

0
Na Magrethy Katengu MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema mwelekeo wa mvua za masika kwa mwezi Machi hadi Mei 2023 itakuwa jumla za...

BETIKA YAZINDUA SODO 4 CLIMATE KUTUNZA MAZINGIRA

0
Na. Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Kampuni ya michezo ya kubashiri nchini Tanzania, Betika imezindua Kampeni ya Sodo 4 Climate, Kampeni ambayo inahamasisha utunzaji wa...

TMA YATOA WITO KWA WAANDISHI WA HABARI KURIPOTI TAARIFA NZURI ZA HALI YA HEWA

0
Na. Mwandishi wetu, , Kibaha Pwani Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa wito kwa waandishi wa habari kuendelea kuwa mabalozi wazuri wa kuripoti...

KHERI JAMES: AMELIPONGEZA KANISA KATOLIKI JIMBO LA MBULU KWA MCHANGO WAKE KATIKA MAENDELEO

0
Mbulu-Manyara. Mkuu wa wilaya ya Mbulu Komred Kheri James,amelipongeza kanisa Katoliki Jimbo la Mbulu kwa mchango wake mkubwa katika Harakati za Maendeleo na Usimamizi wa...

SERIKALI YATOA KIBALI KWA KAMPUNI YA EACOP KUANZA UJENZI WA BOMBA LA MAFUTA GHAFI...

0
Na Magrethy Katengu Serikali kupitia Wizara ya Nishati imekabidhi kibali cha ujenzi wa Bomba la mafuta ghafi la Afrika Mashariki kwa kampuni ya EACOP Tanzania...

MABASI 22 YAFUTIWA LESENI KUSAFIRISHA ABIRIA KWA KIPINDI CHA MWEZI JANUARI HADI FEBRUARI MWAKA...

0
Na Magrethy Katengu MAMLAKA ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini (LATRA) imeendelea na mikakati ya kudhibiti ajali barabarani, baada ya kusitisha leseni za usafirishaji abiria kwa...

POLISI KAGERA YA MSHIKIRIA MTUHUMIWA WA MAUAJI YA MKE WA MWENYEKITI BUKOBA

0
Na Theophilida Felician, Kagera Jeshi la Polisi Mkoani Kagera linamshikiria mtu mmoja aitwaye Paschal Kaigwa Mwenye umri wa miaka (21) mkazi wa kata ya Kishogo...

KAMPENI YA RAIS SAMIA YA KUNUNUA KILA GOLI TSH. MILIONI 5 KUENDELEA

0
Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa ameeleza kuwa ahadi ya Rais Samia Suluhu Hassan ya kununua kila goli la Simba SC na Yanga SC...

MGOGORO MKATABA WAFANYABIASHARA SOKO SM 2000, MKUU WA WILAYA UBUNGO AINGILIA KATI

0
Na Magrethy Katengu Wafanyabiashara Wamachinga wa soko la Ubungo SM 2000 wanakabiliwa na changamoto sitofahamu baina na Halmashauri yao kuhusu ukarabati wa soko hilo kuambiwa...

TAASISI YA KUSAIDIA SEKTA YA KILIMO ( PASS TRUST ) YAZINDUA KAMPENI YA KIJANISHA...

0
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi binafsi ya Kusaidia Sekta ya Kilimo (PASS Trust), Yohane Kaduma,akiongea leo  katika uzinduzi wa kampeni ya KIJANISHA MAISHA kwa wadau...