MAMLAKA YA HALI YA HEWA YATOA UFAFANUZI UWEPO WA KIMBUNGA ‘FREDDY’
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) inapenda kutoa ufafanuzi juu ya taarifa za uwepo wa kimbunga “Freddy” zinazosambaa kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii...
SILINDE: TOENI TAARIFA SAHIHI ZA UTEKELEZAJI WA MIRADI
Asila Twaha, OR - TAMISEMI
Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. David Silinde amewataka Makatibu Tawala Wasaidizi (miundombinu),...
DKT. DUGANGE ABAINI UPOTEVU WA DAWA HOSPITALI YA WILAYA BABATI, AAGIZA UCHUNGUZI KUFANYIKA
OR TAMISEMI - Manyara
Naibu Waziri Ofisi ya Rais – TAMISEMI, Dkt. Festo J. Dugange(Mb) amebaini mianya ya upotevu wa madawa katika hospitali ya wilaya...
WAZIRI KAIRUKI ATOA MAAGIZO HAYA 14 KWA TARURA NA MAMLAKA ZA SERIKALI ZA MITAA
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe Angellah Kairuki ametoa maagizo 14 kwa Wahandisi wa Idara ya...
TANESCO YAPOKEA MASHINE UMBA YA KWANZA KATIKA KITUO CHA CHALINZE.
Na. Mwandishi wetu -TANESCO
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kwa mara ya kwanza limeanza kupokea moja ya mashine umba (Transforma) kubwa sita yenye uwezo wa...
DIT MYUNGA KUUINUA MKOA WA SONGWE
Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Waziri Kindamba ameipongeza Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT) Kampasi ya Myunga mkoani Songwe kwa ukuaji wake wa...
BODI YA WAKURUGENZI AKIBA COMMERCIAL BANK YAMTANGAZA MWENYEKITI WAKE MPYA
Bodi ya Wakurugenzi ya Akiba Commercial Bank Pic (ACB) inapenda kutangaza uteuzi wa Mwenyekiti wake mpya, Bi. Catherine N. Kimaryo. Bi Kimaryo ni kiongozi...
MAKAMU WA RAIS UFUNGUZI WA MWAKA WA MAHAKAMA YA AFRIKA – ARUSHA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Isdor Mpango ametoa wito kwa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu...
MAELFU WAJITOKEZA KUCHUKUA NAMBA NA VESTI ZA KUKIMBILIA KUELEKEA TIGO KILI HALF MARATHON 2023...
Baadhi miongoni mwa Maelfu ya Wakimbiaji watakaoshiriki Tigo Kili Marathon 2023 walivyojisajili katika Viwanja vya Mlimani City , Jijini Dar Es Salaam . Vituo vinavyofuata...













