MTOKO WA KIBINGWA WA BETIKA WAENDELEA KUSHIKA KASI
MTOKO wa Kibingwa msimu wa tano wa Kampuni ya michezo ya kubashiri ya Betika unaendelea na katika msimu huu Kampuni hiyo inahitaji idadi ya...
WATU WANNE MBARONI KWA TUHUMA ZA KUKUTWA NA NYARA ZA SERIKALI BIHARAMULO
Na Theophilida Felician Kagera.
Watu wa nne wanashikiriwa na Jeshi la Polisi Mkoani Kagera kwa tuhuma za kukutwa na Nyara za Serikali ambazo ni meno...
RC MWASSA AUNDA KAMATI KUHAKIKI UPIMAJI ARDHI
Na Saidi Ibada, Morogoro
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Fatma mwassa ameunda kamati ya watu 5 ambao watashirikiana na kamishna wa ardhi wa Wilaya...
SERIKALI INAWATHAMINI WAZALISHAJI WA CHUMVI NCHINI: DKT KIRUSWA
Kigoma
Naibu Waziri wa Madini, Dkt. Steven Kiruswa amesisitiza kuwa, Serikali inawathamini wazalishaji wa Chumvi hapa nchini ili kuongeza uzalishaji wa chumvi kwa kuhakikisha kuwa...
FCC WATEMBELEA BANDARI YA TANGA, WAJIONEA UWEKEZAJI UNAOFANYIKA
Menejimenti ya Tume ya Ushindani nchini ( FCC) ikiongozwa na Mkurugenzi Mkuu wa FCC Bw. William Erio, imetembelea Bandari ya Tanga kwa lengo la...
WAZIRI BITEKO AONGOZA KIKAO MAANDALIZI YA JUKWAA LA KIMATAIFA LA MADINI
Dar Es Salaam
Waziri wa Madini Dkt. Doto Biteko ameongoza kikao kati ya Wizara na Kampuni za dmg events na Ocean Business Partners Tanzania ambazo...
Naibu Waziri Kundo Ampongeza Rais Samia Uboreshaji Mazingira ya Tasnia ya Habari
Na Innocent Natai, WazoHuru Media-Dodoma
Naibu Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Mhandisi Kundo Mathew amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
MWANDISHI WA HABARI EDWIN SOKO ATEULIWA KUWA MKURUGENZI MTENDAJI WA TAASISI YA TMFD
Taasisi ya Tanzania Media for Maritime and Fisheries Development (TMFD) inayofanya kazi katika eneo la vyombo vya habari na uvuvi hapa Tanzania imepata Mkurugenzi...
TBS YAWATAKA WASAMBAZAJI WA MAZIWA MBADALA YA WATOTO KUHAKIKISHA WANASAJILIWA
Na Mwandishi Wetu.
SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limewataka ,Waagizaji na Wasambazaji wa Maziwa mbadala ya watoto wachanga na wadogo kuhakikisha bidhaa hizo zinasajiliwa kwa...
MPANGO WA SHULE BORA WAWEZESHA UANDIKISHAJI WATOTO 2,640 RUKWA
Na. Revocatus Kassimba, Rukwa
Shule Bora ni programu ya elimu inayolenga kuinua ubora wa elimu jumuishi inayotolewa kwenye mazingira salama ya kujifunzia kwa wasichana na...













