WAZIRI MKUU : HARAKISHENI UKARABATI UWANJA WA BENJAMIN MKAPA
Aagiza kufanyika kwa mapitio ya idadi za mechi zinazochezwa kwenye uwanja huo
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameiagiza Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo kuanza haraka...
MAKAMU WA RAIS AKIFANYA MAZUNGUMZO NA MAKAMU WA RAIS WA CUBA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango leo tarehe 01 Machi 2023 amekutana na kufanya mazungumzo na Makamu...
WAFANYABIASHARA WATAKAOFANYA UDANGANYIFU KWENYE UZITO WA MITUNGI YA GESI KUTOZWA FAINI
Wakala wa Vipimo Mkoa wa Mwanza, imewataka wauzaji na wasambazaji wa nishati ya gesi kutumia mizani sahihi iliyohakikiwa na wakala huo ili kumlinda mlaji...
FRIENDS OF TULIA TRUST WASHINDWA KUTIKISA NYAVU ZA ESPANYOL
Na. Munira Abdallah, Mzawablog
KATIKA Muendelezo wa Ligi ya Sodo 4 Climte timu ya Friends of Tulia trust wayaaga Mashindano rasmi kwa upande wa Wanawake...
GWALABET BETI MKEKA KWA TSH. 500 UJINYAKULIE KITITA CHA KUANZIA MILION MOJA KILA WIKI
NA Magrethy Katengu
GWALABET, kampuni pekee Tanzania inayowapa wachezaji fursa ya kubet bure imezindua kampeni mpya iliyopewa jina la ‘Jipigie tu’. kila mchezaji atakaye suka...
MAKAMBA: WARATIBU WA MIRADI YA UMEME VIJIJINI MKATENDE HAKI KWA WANANACHI NA KUTOIANGUSHA SERIKALI
Waziri wa Nishati, Januari Makamba amewaasa vijana walioajiriwa na Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kwa nafasi ya Waratibu Miradi ya Umeme Vijijini kutekeleza majukumu...
WAZIRI MKUU: BUNGE LITAMBUE MCHANGO WA ASASI ZA KIRAIA
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka viongozi wa Kamati za Kudumu za Bunge watambue mchango wa Asasi za kiraia katika kazi zao kwa kuwa zina...
DC UKEREWE AMEAGIZA UJENZI WA BWENI NA BWALO UKAMILIKE KWA WAKATI.
Mkuu wa Wilaya ya Ukerewe Mkoa wa Mwanza Mhe. Hassan Bomboko ameagiza mradi wa ujenzi wa bweni na bwalo katika Shule ya Sekondari Bwiro...












