WATAALAM IDARA BIASHARA NA UWEKEZAJI WA JIJI LA DAR ES SALAAM WANOLEWA
Na Magrethy Katengu
Wataalamu wa Idara Biashara na Uwekezaji Halmashauri ya Jiji la Dar es salaam wapewa Mafunzo namna bora ya Utekelezaji Majukumu yao katika...
MBUNGE MASANJA AKABIDHI MIZINGA YA NYUKI 100 NA MAJIKO YA GESI 150 KWA WANAWAKE...
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mwanza na Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja amekabidhi mizinga ya nyuki 100 yenye thamani...
UJENZI WA SGR KIPANDE CHA TANO MWANZA – ISAKA WAFIKIA ASILIMIA 28
Kamati ya Kudumu ya Bunge Uwekezaji, Mitaji ya Umma ( PCI ) imeliagiza Shirika la Reli Tanzania ( TRC ) kusimamia hatua zote za ujenzi...
DC ZAINABU ABDALLAH ATOA MAAGIZO MAZITO PANGANI, ATAKA USHIRIKISHWAJI WA MADIWANI VIKAO VYA MAPATO
Na Boniface Gideon, Pangani
Mkuu Wa Wilaya ya Pangani Zainabu Abdallah amewataka wakuu wa Idara, Taasisi pamoja na Mkurugenzi wilayani hapo kushirikiana pamoja na Madiwani...
WAZIRI MKUU AKAGUA UWANJA WA NDEGE TERMINAL I
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amekagua uwanja wa ndege wa Terminal I ili kujiridhisha na kazi ya ukarabati unaoendelea kwenye eneo la kuegesha na kufanyia...
TANZANIA NA FINLAND ZAKUBALIANA KUENDELEZA SEKTA YA MISITU NA NYUKI NCHINI.
Na John Mapepele
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mohamed Omary Mchengerwa leo Machi 28, 2023 amefanya kikao na wajumbe wa Serikali ya Finland ulioongozwa...
BENKI YA DUNIA KUSHIRIKIANA NA TANZANIA KUTEKELEZA PPP
Na. Farida Ramadhani, WFM, Dodoma
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Lawrence Mafuru amesema kuwa Serikali inafanya majadiliano ya kimkakati na Benki...
TANZANIA NA MAREKANI KUIMARISHA UHUSIANO WA KIBIASHARA NA UWEKEZAJI
Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb.) Tanzania itaendelea kuimarisha uhusiano wa kibiashara na uwekezaji baina yake na Marekani na...
TANZANIA NA INDIA KUENDELEZA UHUSIANO WA KIBIASHARA NA UWEKEZAJI
Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb.) amewakaribisha wawekezaji wenye nia kutoka India kuja kuwekeza nchini katika sekta mbalimbali hususani...
MBUNGE MHESHIMIWA MASANJA AGAWA MAJIKO YA GESI 700 KWA WANAWAKE WAJASIRIAMALI MWANZA
• Aishukuru ORYX ENERGIES, FOMAC kwa udhamini
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mwanza na Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja amegawa...













