Friday, June 26, 2026
Home 2023 April 13

Daily Archives: April 13, 2023

 DKT. NCHEMBA AIAHIDI JUMUIYA YA KIMATAIFA KUWA SERIKALI ITAONGEZA UWEKEZAJI KATIKA SEKTA YA KILIMO

0
Na Benny Mwaipaja, Washington D.C Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, ameihakikishia Jumuiya ya Kimataifa kwamba Serikali ya Tanzania itaendelea kuwekeza...

SERIKALI HAIJASHINDWA KULIPA MIKOPO

0
Na Farida Ramadhani WFM -Dodoma. Serikali imeeleza kuwa hakuna mikopo ambayo imeshindwa kulipa katika kipindi cha Awamu zote sita za uongozi. Hayo yameelezwa bungeni jijini Dodoma na Naibu...

KATIBU TAWALA MKOA AWAPONGEZA FOUNTAIN GATE KWA KUIHESHIMISHA DODOMA NA TANZANIA

0
Katibu Tawala Mkoa  wa Dodoma Bw. Ally Senga Gugu  ameshiriki katika mapokezi ya Mabingwa wa Shule za Sekondari Afrika (CAF) Fountain Gate walioiwakilisha Tanzania...

TUNDUMA YAPOKEA BILIONI 1,707,100,000/= TOKA MRADI WA BOOST

0
Na William Maganga - Tunduma TC Halmashauri ya Mji Tunduma Imepokea pesa kiasi cha Tsh. 1,707,100,000/= kwa ajili ya ujenzi wa Vyumba vya madarasa, Majengo...

WAZIRI MKUU: SERIKALI KUWEKA MFUMO MPYA MIKOPO YA ASILIMIA 10

0
*Ni utekelezaji wa maagizo ya Rais Dkt. Samia WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amezielekeza Halmashauri zote nchini kusitisha utoaji wa fedha za mikopo kwa makundi maalum...

SERIKALI IMEANZA KUFANYIA KAZI TAARIFA YA CAG -WAZIRI MKUU

0
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali tayari imeanza kuifanyia kazi taarifa ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali ya mwaka baada ya...

MASANJA: UPANDAJI MAZAO HIFADHINI NI UKIUKWAJI WA SHERIA

0
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe.Mary Masanja ( Mb) ametoa angalizo kwamba kupanda mazao katika maeneo ya Hifadhi ni ukiukwaji wa sheria huku...

CHUO CHA UTALII(NCT) CHAJA NA MAFUNZO YA MUDA MFUPI URATIBU WA MATUKIO

0
Na Magrethy Katengu. Katika kuhakikisha kunakuwepo na ufanisi wa uratibu na usimamizi wa matukio, Chuo cha Taifa cha Utalii (NCT) kimesema kutakuwa na ushirikiano na...