NAIBU KAMISHINA TIRA APONGEZA MKAKATI WA BENKI YA CRDB KUCHOCHEA UJUMUISHI WA BIMA KUPITIA...
Naibu Kamishna wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bima (TIRA), Khadija Said (watatu kushoto) akikata utepe kuashiria uzinduzi wa kampeni ya “10 na Kitu” ya...
RAIS SAMIA APOKEA UJUMBE MAALUM WA RAIS WA JAMHURI YA KIDEMOKRASIA YA CONGO, IKULU...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mjumbe Maalum wa Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC)...
RAIS SAMIA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI MIKATABA BAINA YA SERIKALI YA TANZANIA NA KAMPUNI 3...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishuhudia Waziri wa Madini Mhe. Doto Biteko pamoja na Mwanasheria Mkuu wa Serikali...
DKT. MWIGULU NCHEMBA AITA WAWEKEZAJI SEKTA YA UMEME NCHINI TANZANIA
Na Benny Mwaipaja, Washington D.C
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), amewahimiza wawekezaji kutoka kila pembe ya dunia, kuwekeza katika...
DC. SHAKA: TUNAKUJA NA MPANGO MAALUM WA KUWAELIMISHA WANANCHI
Ofisi ya mkuu wa wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro, iko mbioni kuja mpango maalum kwa ajili ya kuwaelimisha wananchi juu ya matumizi bora na...
JAPAN NA VODACOM KUENDELEA KUIMARISHA SEKTA YA AFYA NCHINI.
Na. WAF - Dar Es Salaam
Serikali ya Japan imetoa majokofu mia tatu tisini (390) ya kuhifadhia chanjo kwa Serikali ya Tanzania pia Kampuni ya...
TIGO ZANTEL WAFUTURISHA ZANZIBAR , WAZIRI AWAPONGEZA KWA KUFIKISHA HUDUMA ZA KIDIGITALI KWA JAMII
Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mheshimiwa Dr Khalid Salum Mohamed ameipongeza Kampuni ya Mawasiliano ya TigoZantel kwa...
THE ROYAL TOUR YALIPA, WATALII ZAIDI YA 300 WAWASILI
Na. Beatrice Sanga-MAELEZO
Tanzania imepokea meli ya kitalii kutokea Miami nchini Marekani iliyobeba zaidi ya watalii 300 na wahudumu zaidi ya 300 ikiwa ni mwendelezo...
MTOKO WA KIBINGWA WAIPAMBA LUPASO, DERBY YA KARIAKOO MNYAMA APETA
WASHINDI wa Promosheni ya Mtoko wa Kibingwa wa Betika wa hitimisa Msimu wa 5 na Bata la Kibabe na kutazama Derby ya Kariakoo kati...












