Serikali kuhakikisha miradi ya mazingira inatekelezwa kwa viwango
Serikali kupitia Ofisi ya Makamu wa Rais imesema itaendelea kuhakikisha miradi ya mazingira katika maeneo mbalimbali nchini inatekelezwa kwa kiwango kinachotakiwa ili iwanufaishe wananchi...
TAASISI MBILI ZA ELIMU ZAPATA MSAADA WA DOLA 20,000 KUTOKA SHIRIKA LA NVEP KWA...
Meneja wa Barrick Nchini Tanzania, Melkiory Ngido(kulia) akikabidhi hundi ya dola za Kimarekani milioni 10 kwa Mkurugenzi wa mipango kutoka taasisi ya TanSAF ,Alex...
NCT NA DMI WAINGIA MAKUBALIANO YA KUTOA MAFUNZO KWA MABAHARIA
Kaimu Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Utalii (NCT) Dkt. Florian Mtey (kulia) na Kaimu Mkuu wa Chuo cha Bahari Dar es Salaam (DMI)...
MASHIRIKA YA UMMA YATAKIWA KUJIENDESHA KWA FAIDA.
Na Beatrice Sanga-MAELEZO
SERIKALI imesema kuwa itahakikisha Taasisi na Mashirika ya Umma yaliyopo chini ya Ofisi ya Msajili wa Hazina yanajiendesha kwa faida katika shughuli...
SHIRIKA LA BIMA LA CHINA’ (SINOSURE) LAAHIDI KUENDELEZA USHIRIKIANO NA TANZANIA
Na. Joseph Mahumi, WFM, Dar es Salaam
Shirika la Bima la China - (CHINA EXPORT AND CREDIT INSURANCE CORPORATION (SINOSURE), imeahidi kuendelea kudumisha ushirikiano na...
KATIBU MKUU JAMAL KATUNDU AONGOZA KIKAO CHA USHIRIKIANO BAINA YA OFISI YA WAZIRI MKUU...
Na; OWM – KVAU: DAR ES SALAAM
Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu, Prof. Jamal Katundu ameongoza kikao cha majadiliano kati ya...
UIMARISHWAJI NA USIMAMIZI WA TAASISI NA MASHIRIKA YA UMMA
Msajili wa Hazina, Nehemia Mchechu leo amekutana na wenyeviti wa bodi na watendaji wakuu wa Taasisi, Mashirika ya Umma na Wakala wa Serikali ili...
WATOA HUDUMA WA AFYA NGAZI YA JAMII WAWEZESHWA KUWAIBUA WENYE TRAKOMA NA MTOTO WA...
Na.WAF, Mbarali
Zaidi ya watoa huduma wa afya ngazi ya jamii 3000 wa mikoa ya Njombe, Mbeya, Songwe,Iringa na Manyara wamejengewa uelewa wa kuwatambua wagonjwa...












