Monday, November 23, 2026
FAHARI AFYA
Home 2023 April

Monthly Archives: April 2023

CHANJO HUZUIA TAKRIBANI VIFO MILIONI MBILI KILA MWAKA

0
Na.Catherine Sungura,Manyara Chanjo huzuia takribani vifo milioni mbili (2) hadi tatu (3) kila mwaka kutokana na maradhi yanayozuilika kwa Chanjo duniani Hayo yamesemwa leo na Mganga...

KAFULILA AELEZEA MKAKATI WA KUVUTIA TRILIONI 21 ZA PPP

0
Na Benny Mwaipaja, Arusha Serikali inapanga kukutanisha wakuu wa mashirika ya umma 7 ya kimkakati na wabobezi wa uwekezaji wa Ubia kati ya Sekta ya...
MBUNGE MSTAAFU, JIMBO, NGARA

MBUNGE MSTAAFU JIMBO LA NGARA AYATAJA MAFANIKIO YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR

0
Na Theophilida Felician Kagera. Pius B. Ngeze ambaye ni Mbunge Mstaafu wa Jimbo la Ngara Mkoani Kagera ameyaeleza mafanikio kadha wa kadha yaliopatikana tangu kuungana...
MCHENGERWA, AJIRA, 231

MCHENGERWA: AJIRA 231 ZA MAMA SAMIA KUTATUA KERO YA TEMBO

0
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mohammed Mchengerwa, leo April 26, 2023, Mlele, Mpanda, mkoani Katavi, amefunga mafunzo ya askari 231 wa Jeshi la Uhifadhi...
MAJALIWA, SERIKALI, IMETENGA

MAJALIWA: SERIKALI IMETENGA BIL. 9.9 UJENZI WA VITUO SABA VYA ZIMAMOTO NA UOKOAJI

0
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali imetenga shilingi bilioni 9.93 katika bajeti ya mwaka 2023/2024 kwa ajili ya kukamilisha miradi ya ujenzi wa vituo...
Wataka, Maadili, Mema

Wataka Maadili Mema yafuatwe kwenye Jamii

0
CHUO cha Ukunga na Uuguzi Bukumbi kilichopo wilayani Misungwi kimewataka wanachuo wake kuenenda kwa maadili mema ya kitanzania ili waweze kufikia matarajio yao ya...
MAWAKILI, UTETEZI, KESI

MAWAKILI WAJIPANGA KUHARAKISHA UTETEZI KATIKA KESI ZAO

0
MAWAKILI Jijini Mwanza wameitaka jamii kutoa ushirikiano mapema kwa mashauri wanayoleta kwao ili kuwezesha kupatikana kwa ufumbuzi haraka na hivyo kuweza kuendelea na shughuli...
SHULE, SEKONDARI, MSINGI

SHULE ZA SEKONDARI NA MSINGI ZIRUDISHE MAZOEZI KWA WANAFUNZI

0
NA. WAF - Dar es Salaam Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amezitaka shule zote za msingi na sekondari nchini kuwepo na mazoezi ya viungo...

CHUO CHA TAIFA CHA UTALII (NCT) CHAFANYA MDAHALO KUADHIMISHA MIAKA 59 YA MUUNGANO

0
Kaimu Mkuu wa chuo cha Taifa cha Utalii (NCT) Dkt. Florian Mtey akizungumza alipokuwa akitoa hotuba yake ya kufungua rasmi Mdahalo wa maadhimisho wa...
Celebrating 25 Years of NHIF
FAHARI AFYA