BODABODA WATAKIWA KUJIANDAA NA MIKOPO YA PIKIPIKI
Na Shomari Binda-Musoma
VIJANA wanaojihusisha na usafirishaji wa pikipiki maarufu"bodaboda"wametakiwa kujipanga kuwezeshwa mikopo ya pikipiki kutoka serikalini ili kujiletea maendeleo.
Kauli hiyo imetolewa na mkuu wa...
SHILOLE ALAMBA SHAVU LA UBALOZI KAMPUNI YA MIKA MEATS
Na Magrethy Katengu
Zuwena Mohamodi kwa jina la Kisanii Shilole Maarufu ( Shishi Baby) amekabidhiwa kuwa balozi wa Kampuni ya Mika Meats inayojihusisha na biashara...
VIPAUMBELE SITA VYA WIZARA YA MADINI MWAKA WA FEDHA 2023/2024
Wizara ya Madini imetoa vipaumbele vyake kwenye mwaka wa fedha 2023/2024 kwenye lengo la kuhakikisha sekta ya madini inachangia kujenga uchumi imara na kuongeza...
TANZANIA NA MALAWI KUKUZA UHUSIANO WA KIBIASHARA
Tanzania na Malawi zimekubaliana kukuza uhusiano wa kibiashara na uwekezaji kwa kuboresha mazingira ya ufanyaji biashara na uwekezaji baina ya nchi hizo ikiwemo uboreshaji...
ITUMIENI KAMPENI YA HUDUMA YA MSAADA WA KISHERIA YA MAMA SAMIA – MAJALIWA
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka watanzania kuitumia kampeni ya Huduma ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia kutoa taarifa kuhusu uwepo wa watu, au...
WAZIRI MKUU ATOA MAAGIZO KUIMARISHA UHIFADHI ENDELEVU
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amelitaka Jeshi la Polisi kuchunguza matukio yote yaliyotolewa taarifa kuhusu kuteswa, kuumizwa na kuuawa kwa baadhi ya Wananchi waliotuhumiwa kuingia...
TANZANIA NA JAPAN ZASAINI MIKATABA YA MIKOPO YENYE MASHARTI NAFUU
Na Benny Mwaipaja, WFM, Dar es Salaam
Tanzania na Japan kupitia Shirika lake la Ushirikiano wa Kimataifa (JICA), zimesaini mikataba mitatu ya mkopo wenye masharti...
MFUMO WA KIELEKTRONIKI WAONGEZA USALAMA WA MAKUSANYO
Na. Peter Haule, WFM, Dodoma
Usalama wa makusanyo ya mapato ya Vyuo Vikuu na vya Kati umeongezeka kwa kiwango kikubwa baada ya kuanza kutumika...
WATOTO 10,141 KUPATIWA HUDUMA YA CHANJO MKOANI MARA
Na Shomari Binda-Musoma
WATOTO 10,141 wamekusudiwa kufikiwa na huduma ya chanjo mkoani Mara ili kujikinga na magonjwa mbalimbali ikiwemo surua na polio.
Kauli hiyo imetolewa na...
















