Friday, June 26, 2026
Home 2023 May

Monthly Archives: May 2023

MISA TANZANIA YAADHIMISHA MIAKA 30, SERIKALI KUENDELEA KUSHIRIKIANA NA VYOMBO VYA HABARI

0
Msemaji Mkuu wa Serikali na Mkurugenzi wa Idara ya habari- MAELEZO Gerson Msigwa. Na Kadama Malunde - Malunde 1 blog Taasisi ya vyombo vya Habari Kusini...

TBS KUADHIMISHA SIKU YA CHAKULA SALAMA DUNIANI JUNI 7 , 2023 NA KAULI MBIU...

0
Kaimu Meneja Kitengo cha Tathmini ya Vihatarishi vya chakula TBS, Dkt.Ashura Kilewela akizungumza na waandishi wa habari leo Mei 25,2023 , katika kuelekea Maadhimisho ya...

WAZIRI MABULA AIPONGEZA WIZARA YA HABARI KWA KUBUNI NAPA

0
Na Jacquiline Mrisho - MAELEZO Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Dkt. Angeline Mabula, ameipongeza Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya...

3,154 KUNUFAIKA NA MRADI WA PEMBEJEO ZA UFUGAJI

0
Na Lilian Lundo – MAELEZO Serikali kwa kushirikiana na Benki ya Maendelo ya Kilimo (TADB) inatekeleza mradi wa kutoa mikopo yenye masharti nafuu na isiyo...

MADAKTARI BINGWA KUTOA HUDUMA ZA AFYA CF HOSPITAL MUSOMA

0
Na Shomari Binda-Musoma MADAKTARI bingwa wa magonjwa mbalimbali ya binadamu wanatarajiwa kutoa huduma za kibingwa kwa wananchi wa manispas ya Musoma na vitongoji vyake. Huduma za...

MUHONGO KUENDESHA HARAMBEE UJENZI WA SEKONDARI 4 JIMBONI

0
Na Shomari Binda-Musoma MBUNGE wa jimbo la Musoma vijijini,Prof.Sospeter Muhongo, amepanga kuendesha harambee kufanikisha ujenzi wa sekondari 4 kwenye jimbo hilo. Akizungumza na Mzawa amesema ndani...

TUZINGATIE KANUNI ZA AFYA KUKABILIANA NA MAGONJWA YA MLIPUKO

0
Na. HPS - MoH Watanzania wametakiwa kuendelea kuzingatia kanuni za afya ikiwa ni pamoja na kuyaweka mazingira katika hali ya usafi ili kujikinga na Magonjwa...

MKUU WA WILAYA YA TEMEKE ATEMBELEA BANK YA AKIBA KATIKA TAMASHA LA KIJANA JANJARUKA.

0
Na Mwandishi wetu Akiba Commercial Bank Plc imekuwa mstari wa mbele kutoa elimu ya fedha kwa vijana na umma kwa ujumla hususan katika nyanja ya...

MAKAMU WA RAIS AFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS WA AfDB

0
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango leo tarehe 24 Mei 2023 amekutana na kufanya mazungumzo na Rais...

CHUO CHA TAIFA CHA UTALII (NCT) CHAHITIMISHA MAFUNZO YA UANAGENZI JIJINI DAR

0
Kaimu Makamu Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Utalii (NCT) Jesca William, Akizungumza katika hafla ya kukabidhi vyeti kwa wanafunzi wa Kozi fupi ya...