Saturday, June 27, 2026
Home 2022 August

Monthly Archives: August 2022

NAIBU WAZIRI KATAMBI APONGEZA MFUMO WA KUINGIA MIKATABA YA UTENDAJI KAZI NA TAASISI ZA...

0
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Watu Wenye Ulemavu Mhe. Patrobas Katambi amepongeza Mfumo wa kuingia Mikataba ya Utendaji...

BILIONI 776.6 ZAELEKEZWA KATIKA UJENZI, UKARABATI NA MATENGENEZO YA BARABARA VIJIJINI NA MIJINI

0
OR-TAMISEMI Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Innocent Bashungwa amesema katika mwaka wa fedha 2022/23 ujenzi wa...

WIZARA KUANZISHA TANZANIA MADINI MARATHON MWAKA 2023

0
Na Steven Nyamiti-Shinyanga Serikali kupitia Wizara ya Madini inatarajia kuanzisha mashindano ya mchezo wa mbio utakaojulikana kama Tanzania Madini Marathon ifikapo mwaka 2023 ili kuhamasisha...

RAIS SAMIA KUSHUHUDIA HAFLA YA UTIAJI SAINI KATI YA TARURA NA MAKANDARASI

0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amewasili katika hafla ya utiaji saini mikataba kati ya TARURA na Mandarasi watakaotengeneza...

MAANDALIZI YA SENSA YA WATU NA MAKAZI YAFIKIA ZAIDI YA ASILIMIA 95.

0
NA.MWANDISHI WETU Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge na Uratibu Dkt. John Jingu ameeleza hadi sasa maandalizi ya zoezi la...

PAULINE GEKUL: RIADHA KUWA MIONGONI MWA MICHEZO YA KIMKAKATI NCHINI

0
Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Pauline Gekul amesema Serikali imejipanga kuendeleza mchezo wa riadha ambao ni miongoni mwa michezo ya kipaumbele...

MIRADI YA MAJI 1029 KUTEKELEZWA VIJIJINI.

0
Naibu Waziri wa Maji Mhandisi Maryprisca Mahundi (Mb) amesema Serikali imepanga kutekeleza jumla ya miradi 1029 ya maji vijijini ambapo miradi 648 ni miradi...

SERIKALI KUWEZESHA USHIRIKI WA VIJANA KATIKA MAENDELEO YA TAIFA

0
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu -Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Prof. Joyce Ndalichako amesisitiza kuwa serikali itaendelea kuweka mifumo imara...

MAWAZIRI PITIENI UPYA MIKATABA – MAJALIWA

0
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka Mawaziri wapitie upya mikataba ambayo nchi kupitia wizara zao zimeingia na nchi mbalimbali kwenye sekta zao ili kubaini maeneo...

SERIKALI YA AWAMU YA SITA ITAENDELEA KUSHIRIKIANA NA MADHEHEBU YOTE YA DINI

0
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan itaendelea kushirikiana na madhehebu yote ya dini...