BASHUNGWA: TUPO TAYARI KUFIA SITE KULIKO KUMUANGUSHA RAIS SAMIA
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Innocent Bashungwa amesema wako tayari kuifia site kuliko kumuangusha Rais Samia...
WAZIRI NDALICHAKO AELEKEZA UKAGUZI MAALUM, UKARABATI WA CHUO CHA WATU WENYE ULEMAVU YOMBO.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu -Kazi, Vijana Ajira na Wenye Ulemavu Mhe.Prof. Joyce Ndalichako ameelekeza kufanyika kwa Ukaguzi Maalum juu ya matumizi...
MHE. DITOPILE ATETA NA MADEREVA BODABODA NA BAJAJI, KONDOA
MBUNGE wa Viti Maalum Mkoa wa Dodoma, Mariam Ditopile amekutana na Madereva Bodaboda na Bajaji wa Halmashauri ya Mji wa Kondoa ili kuwahamasisha kutoa...






