UKARABATI UWANJA WA MPIRA WA MAJALIWA WAFIKIA ASILIMIA 98
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema ukarabati mkubwa uliofanyika kwenye uwanja wa Mpira wa Miguu wa Majaliwa uliopo Ruangwa mkoani Lindi umekamilika kwa asilimia 98...
TIGO WAZINDUA DUKA LA KISASA MKOANI IRINGA
Mwandishi Wetu.
KAMPUNI namba moja kwa utoaji wa huduma za Kidigitali nchini , Tigo Tanzania Leo Agosti 19 , 2022 imezindua duka jipya na la...
BASHUNGWA AHIMIZA WANANCHI KUSHIRIKI NA KUCHANGIA MIRADI YA MAENDELEO.
Na OR-TAMISEMI, Karagwe
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Innocent Bashungwa amewahimiza wananchi kushiriki katika shughuli za...
WATUMISHI WOTE NCHINI WAKAHESABIWE ILI KUTOA TAKWIMU AMBAZO NI SAHIHI
Mbunge wa viti maalumu Janejelly Ntante anayewakilisha wafanyakazi amewataka watumishi wote nchini wakahesabiwe ili kutoa takwimu ambazo ni sahihi zitakazoisaidia serikali kuleta maendeleo, ameyasema hayo...
UGONJWA WA USUBI NCHINI TANZANIA KUTOKOMEZWA IFIKAPO 2030
Na. WAF - Dar es Salaam
Mkutano wa ushauri wa kitaalamu wa kutokomeza ugonjwa wa USUBI nchini umemalizika kwa kukubaliana na kushauriana mbinu zitakazo wezesha...
RIDHIWANI AKABIDHI MASHAMBA 11 YALIYOSHINDWA ENDELEZWA KWA WANANCHI KILOSA KWA NIABA YA RAIS SAMIA...
Na Mwandishi wetu…
Naibu Waziri wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi , Ridhiwani Kikwete amewahimiza viongozi wa Wilaya ya Kilosa kusimamia mpango...
BRELA YAWAJENGEA UWEZO MAOFISA BIASHARA KANDA YA KASKAZINI
Maofisa Biashara wametakiwa kuwa na tabia ya kuwatembelea Wafanyabiashara katika maeneo yao ili kuweza kuibua na kujua changamoto zao badala ya kuwatembelea wakati wa...
WATENDAJI WAHIMIZWA KUONGEZA KASI UTEKELEZAJI WA MRADI WA AFDP
Na Mwandishi wetu
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu Mhe. George Simbachawene amehimiza kuwa na vikao vya uratibu vya pamoja...
NSSF YAJIPANGA KUWAFIKIA SEKTA ISIYORASMI KIKAMILIFU
Na Emmanuel Kawau
Mfuko wa Taifa wa hifadhi ya jamii NSSF umewataka wafanyakazi wa sekta binafsi na wale wasio na sekta rasmi kujiunga na mfuko...












