ENDELEENI KUTOA HUDUMA BORA KWA WANANCHI-DKT. SICHALWE
Na. WAF – Manyara
Mganga Mkuu wa Serikali Dkt. Aifello Sichalwe ameupongeza Uongozi wa Hospitali ya Misheni ya Haydom iliyoko Mkoani Manyara kwa kazi nzuri...
MAJALIWA: RAIS SAMIA ANATAMBUA MCHANGO WA MICHEZO SHULENI
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan inatambua mchango wa michezo shuleni, hivyo itaendelea kuhamasisha...
Prof MBARAWA ; SERIKALI INAENDELEA KUBORESHA MIUNDOMBINU KWA BAJETI ILIYOTENGWA
Na Magrethy Katengu
Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi kupitia bajeti yake ya mwaka 2022/2023 itaendelea kuboresha miundombinu ikiwemo bandari,viwanja vya ndege, barabara na madaraja, vivuko...
MHE.TSERE AWAPONGEZA WAKULIMA WA WILAYA YA LUDEWA
Mkuu wa Wilaya ya Ludewa Mhe.Andrea Tsere, amewapongeza wakulima wote wa Wilaya ya Ludewa waliopo kwenye maoneshe ya nanenane Jijini Mbeya kwa Upendo mkubwa...








