WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AMEHUDHURIA UFUNGUZI WA MKUTANO WA TICAD 8
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Agosti 27, 2022 amehudhuria ufunguzi wa Mkutano wa Nane wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Kimataifa kuhusu Maendeleo...
MAWE MAKUBWA MAWILI YA TANZANITE YAPATIKANA MERERANI
Mawe makubwa mawili ya Tanzanite moja likiwa na uzito wa kilo 3.74 na jingine likiwa na uzito wa kilo 1.48 yamepatikana ndani ya machimbo...
WAZIRI SIMBACHAWENE: MZEE KUSILA AMEFANYA MAMBO MENGI YA KUIGWA.
Na mwandishi wetu
Waziri wa Nchi Ofisi ya waziri Mkuu Sera,Bunge na Uratibu Mhe. George Simbachawene amesema Mzee William Kusila alipenda kuona viongozi wanazingatia miiko,...
OMBI LATOLEWA KUSAIDIA JAMII HUSUSANI HUDUMA ZA KIAFYA
Na Magrethy Katengu
Taasisi za kiserikali na zisizo za kiserili zimeombwa kujitokeza kusaidia changamoto zinazoikabili Jamii hususani katika kiafya kwani walio wengi hukabiliwa na changamoto...
WASHINDI WAIBUKA KIDEDEA KATIKA KAMPENI YA M-PESA IMETIKI
Na Magrethy Katengu
Kampuni ya line simu za mikononi Vodacom imeishukuru serikali kwa kufanya mabadiliko ya tozo ya miamala ya kutuma fedha na kutoa kwa...
JUMUIYA ZA WAFANYABIASHARA WA IRAN NA ZANZIBAR WAKIBADILISHANA UZOEFU
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Kazi, Uchumi na Uwekezaji, Mhe Mudrik Ramadhan Soraga akizungumzia katika jukwaa la kibiashara baina ya Jumuiya za wafanyabiashara...
MKUU WA WILAYA YA TEMEKE JOKATE MWEGELO AMEWATOA HOFU WAKAZI WA WILAYA HIYO
Dar es Salaam. Mkuu wa Wilaya ya Temeke Jokate Mwegelo amewatoa hofu wakazi wa wilaya hiyo ambao hawajahesabiwa hadi sasa kuwa watahesabiwa ndani ya...










