Home Kitaifa MAWE MAKUBWA MAWILI YA TANZANITE YAPATIKANA MERERANI

MAWE MAKUBWA MAWILI YA TANZANITE YAPATIKANA MERERANI

Mawe makubwa mawili ya Tanzanite moja likiwa na uzito wa kilo 3.74 na jingine likiwa na uzito wa kilo 1.48 yamepatikana ndani ya machimbo ya Tanzanite Mirerani kutoka kwa mchimbaji mdogo, Anselm J. Kawishe. Mawe hayo yanatarajiwa kununuliwa na Serikali kwa shilingi 2,245,571,543.46

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here
Captcha verification failed!
CAPTCHA user score failed. Please contact us!