Monday, July 27, 2026
Home 2026 June 4

Daily Archives: June 4, 2026

UBUNIFU WA KITANZANIA WAGEUZA TAKA KUWA DHAHABU YA WAFUGAJI

0
NA EMMANUEL MBATILO, DAR ES SALAAM TUME ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) imeendelea kuwaibua na kuwawezesha wabunifu nchini kupitia mafunzo yanayolenga kugeuza ubunifu...

SERIKALI YAZINDUA GRAND CHALLENGES TANZANIA KUCHOCHEA UBUNIFU WA KUTATUA CHANGAMOTO ZA TAIFA

0
SERIKALI imezindua jukwaa jipya la kitaifa la ubunifu litakalowawezesha wanasayansi, watafiti na wabunifu kubuni suluhisho za ndani kwa changamoto zinazoikabili nchi katika sekta za...

WAZIRI SANGU AONGOZA UJUMBE WA TANZANIA MKUTANO WA 114 ILO

0
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Ajira na Mahusiano, Mhe. Deus Sangu akifuatilia agenda zilizokuwa zikijadiliwa katika Mkutano wa 114 wa...

DCEA, VETA KUWAPA UJUZI WARAIBU WALIOPONA ILI WAJITEGEMEE

0
MAMLAKA ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) na Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) zimeingia makubaliano ya ushirikiano...

WAZIRI GWAJIMA KUFUNGUA KONGAMANO LA KIMATAIFA LA UWEZESHAJI WA WATU

0
Chuo cha Ustawi wa Jamii (ISW) kimetangaza kufanyika kwa Kongamano lake la Kwanza la Kimataifa la Uwezeshaji wa Watu na Ustawi wa Jamii, litakalofanyika...