SANGU :MAHUSIANO MEMA NI MSINGI WA KUIMARISHA UMOJA NA DEMOKRASIA NCHINI
Na. OWM (KAM), Morogoro
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano Deus Sangu amesema mahusiano mema, mazungumzo ya kujenga na...
WADAU WA MADINI WAKUMBUSHWA KUZINGATIA SHERIA KUONGEZA MANUFAA KWA TAIFA
-DODOMA
Wadau wa Sekta ya Madini wamehimizwa kuzingatia sheria, kanuni na taratibu zinazosimamia shughuli za madini ili kuhakikisha rasilimali hizo zinaendelea kuchangia maendeleo ya taifa...
TANZANIA KUTUMIA TAKWIMU KUHARAKISHA USTAWI WA WANANCHI
Na.Alex Sonna-DODOMA
OFISI ya Taifa ya Takwimu (NBS) imesema takwimu rasmi zitaendelea kuwa nguzo muhimu katika kufuatilia na kutathmini utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo...
ZANZIBAR KUWA KITOVU CHA UZINDUZI WA MSAADA WA KISHERIA AWAMU YA PILI
Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Juma Zuberi Homera,akizungumza na waandishi wa habari leo Juni 17,2026 jijini Dodoma kuhusu uzinduzi wa awamu ya pili ya...
WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA YAHIMIZA VIJANA KUTUMIA FURSA ZA KIUCHUMI
Na Mwandishi Wetu-DODOMA
Wizara ya Viwanda na Biashara imewahimiza wananchi, hususan vijana na wajasiriamali, kutumia kikamilifu fursa zinazotolewa na taasisi zake ili kukuza biashara, kuongeza...
TBS KUSHEREKEA MIAKA 50 DODOMA NA KUZINDUA KITABU
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS), Dkt. Ashura Katunzi,akitoa taarifa kwa umma kuelekea kuhitimisha maadhimisho ya miaka 50 tangu kuanzishwa kwake Juni...









