Friday, October 9, 2026
Home 2026

Yearly Archives: 2026

MHE. RIDHIWANI AWAASA WASHIRIKI WA MAFUNZO YA AWALI YA UCHUNGUZI KULITUMIKIA TAIFA KATIKA MISINGI...

0
Na, Veronica Mwafisi - Moshi Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete amewataka vijana wanaofanya...

WABUNGE AFRIKA WAUNGA MKONO AJENDA YA RAIS SAMIA YA AFYA YA MAMA NA MTOTO

0
Arusha,  Wabunge kutoka Kundi la Kijiografia-Kisiasa la Bara la Afrika kupitia Umoja wa Mabunge ya Duniani (IPU) wameunga mkono ajenda ya Rais wa Jamhuri...

REA YAENDELEA KUWEZESHA SEKTA BINAFSI KATIKA MIRADI YA UZALISHAJI UMEME

0
Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) imeendelea kuwa kiungo muhimu katika kuwezesha waendelezaji wadogo wa miradi ya uzalishaji wa umeme unaotokana na maporomoko...

WAZIRI KIKWETE AHITIMISHA MICHEZO YA SHIMIWI 2026, AWATAKA WATUMISHI WA UMMA KUJAZA PEPMIS NA...

0
Na. Veronica Mwafisi-Moshi. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete amewataka Watumishi wa Umma waliokuwa...

PDPC YAIMARISHA UWEZO WA DPOs KULINDA TAARIFA BINAFSI ZA WANANCHI

0
Na Mwandishi Wetu. Kila siku, wananchi hutoa Taarifa zao Binafsi kwa taasisi mbalimbali nchini ili kupata huduma za kijamii na kiuchumi. Ulinzi wa Taarifa hizo...

NEMC YATANGAZA MCHANGO WA TANZANIA KATIKA UHIFADHI WA BAHARI

0
Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) linashiriki kikamilifu katika Mkutano wa 12 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Nairobi (COP12),...

SERIKALI YAWEKA MKAZO UHAKIKA WA MAFUTA,UHIMILIVU WA BEI NCHINI

0
Na Mwandishi Wetu     Serikali imesema inaweka mkazo katika kuhakikisha bidhaa za mafuta zinaendelea kupatikana nchini kwa uhakika, na kwa bei himilivu, licha ya mabadiliko...

MHE. KIKWETE AZIELEKEZA MAMLAKA ZA NIDHAMU KUZINGATIA USIRI WA TAARIFA BINAFSI ZA WATUMISHI WAKATI...

0
Na Veronica Mwafisi – Tanga Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete amefungua kikao kazi...

SHIVYAWATA TABORA YAPEWA ELIMU YA HAKI ZA WATUMIAJI WA NISHATI NA MAJI

0
Meneja wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) Kanda ya Magharibi,Mhandisi Karim Ally, akitoa elimu kwa wanachama wa Shirikisho la...