Friday, October 9, 2026
Home 2026

Yearly Archives: 2026

SERIKALI YAWEKA MKAKATI MPYA KUIMARISHA UALIMU

0
SERIKALI inaendelea kuchukua hatua mbalimbali za kuimarisha taaluma na hadhi ya walimu nchini, ikiwamo kuanzisha mafunzo ya vitendo kwa wahitimu wa ualimu kabla ya...

MGODI WA BARRICK NORTH MARA WAONGEZA MUDA WA LESENI YA UCHIMBAJI MIAKA 15

0
Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Madini imeongeza muda wa leseni ya uchimbaji mgodi wa Barrick North Mara uliopo katika wilaya ya Tarime mkoani...

SERIKALI YAWEKA VIPAUMBELE KUBORESHA MAKAZI NA MIJI

0
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dkt. Leonard Akwilapo,akizungumza wakati wa maadhimisho ya Siku ya Makazi Duniani 2026 yaliyofanyika leo Oktoba 5,2026...

RAIS DKT. MWINYI: UISLAMU UNAHIMIZA UPENDO, AMANI NA UMOJA

0
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema Uislamu unahimiza upendo, amani, umoja na mshikamano, misingi muhimu...

TANZANIA YATAKA MIUNDOMBINU IWE KICHOCHEO CHA MTANGAMANO WA AFRIKA

0
Tanzania imetaka nchi za Afrika kuongeza kasi ya kuunganisha miundombinu ya usafiri, nishati na mifumo ya kidijitali ili kurahisisha biashara, kuimarisha minyororo ya thamani...

NAIBU WAZIRI KUNDO: KERO YA MAJI DAR KUWA HISTORIA | MRADI WA BWAWA LA...

0
Mradi wa Bilioni 336 Kuhifadhi Lita Bilioni 190, Kuzalisha MW 20 na Kulinda Ikolojia ya Ruvu Naibu Waziri wa Maji, Mhandisi Kundo Mathew, amesema ujenzi...

WAZIRI MKUU AMWAKILISHA RAIS DKT. SAMIA KATIKA KUWEKWA WAKFU KWA ASKOFU LUNDU

0
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Oktoba 4, 2026, anamwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika Ibada ya...

TCU YAFUNGUA AWAMU YA TATU YA UDAHILI WA VYUO

0
Katibu Mtendaji wa Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) Prof. Charles Kihampa,akizungumza na waandishi wa habari leo Oktoba 3,2026 jijini Dodoma  kuhusu kuongeza muda...

DIT YAHITIMISHA AWAMU YA PILI YA MAFUNZO YA KIDIGITALI, VIJANA 32 WANG’ARA

0
   Na Mwandishi Wetu. Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT) imehitimisha awamu ya pili ya mafunzo ya mradi wa majaribio unaolenga kuwawezesha vijana kutumia...

SERIKALI INATHAMINI WAJASIRIAMALI WADOGO NA WA KATI KUINUA BIASHARA ZAO

0
Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe Judith Kapinga(Mb), Leo amezindua Kitabu cha mwongozo wa upangaji bei za keki kilichoandaliwa na mmoja wa wajasiriamali hapa...