WASHIRIKI 103 WANUFAIKA NA MAFUNZO YA UENDESHAJI WA GHALA NCHINI
Afisa Tawala wa Wilaya ya Morogoro, Bi. Janeth Chatta,akizungumza wakati akifunga mafunzo ya wasimamizi wa shughuli za ghala kwa msimu wa biashara wa mbaazi...
WRRB YATANGAZA FURSA MPYA KWA WAFUGAJI
Wafugaji nchini wanatarajiwa kunufaika na biashara ya kisasa ya mifugo baada ya Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za Ghala (WRRB) kuanza kuingiza mifugo katika...
WAZALISHAJI KUTUMIA ALAMA YA ‘MADE IN TANZANIA’ KUONGEZA USHINDANI KIMATAIFA
Na.Mwandishi Wetu-DAR ES SALAAM:
Serikali imewaagiza wazalishaji wote nchini kutumia alama ya 'Made in Tanzania' ili kuongeza imani kwa bidhaa zinazozalishwa nchini na kuimarisha ushindani...
MMS ATEMBELEA WADAU MAONESHO YA SABASABA 2026
Mkemia Mkuu wa Serikali, Dkt. Fidelice Mafumiko, akisaini kitabu cha wageni alipowasilikwemye viwanja vya maonyesho vya Mwalimu Nyerere vilivyopo Barabara ya Kilwa Dar es...
TIRDO YAIBUKA NA SULUHISHO RAFIKI KWA MAZINGIRA KATIKA UCHAKATAJI NGOZI
Matumizi ya kemikali katika uchakataji wa ngozi yanatarajiwa kupungua kufuatia ubunifu wa Shirika la Utafiti na Maendeleo ya Viwanda Tanzania (TIRDO) wa kubuni dawa...
TANZANIA YATOA WITO WA KUIMARISHWA KWA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA KATIKA UTAWALA WA AKILI UNDE
Na.Mwandishi Wetu-Geneva
Tanzania imetoa wito wa kuimarishwa kwa ushirikiano wa kimataifa ili kuhakikisha maendeleo ya kasi ya Akili Unde (AI) yanasimamiwa kupitia mifumo ya kimataifa...









