Friday, July 17, 2026
Home 2026 June

Monthly Archives: June 2026

BEI MPYA ZA MAFUTA ZATANGAZWA

0
Habari njema kwa watumiaji wa mafuta nchini. Kuanzia Jumatano, tarehe 01 Julai 2026, bei kikomo za bidhaa za petroli zimeshuka kutokana na kupungua kwa...

DKT MWIGULU: SERIKALI INAENDELEA KUIMARISHA MAZINGIRA YA BIASHARA NA UWEKEZAJI

0
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali itaendelea kuimarisha mazingira ya biashara, uwekezaji na viwanda kwa kufanya mageuzi ya sera, sheria, kanuni na mifumo...

RAIS SAMIA APOKEA GAWIO LA SH. BILIONI 15 KUTOKA TIPER

0
Rais wa Jamhuri ya Muungwana wa Tanzania Dk.Samia Suluhu Hassan (katikati)akikabidhiwa gawio la Sh.bilioni 15 kutoka kwa  Mwenyekiti wa Bodi ya Tiper Balozi Mathias...

TBS KANDA YA MASHARIKI WATEKETEZA NGUO ZA NDANI ZA MITUMBA , RANGI , VIPODOZI...

0
  Na Mwandishi Wetu. MKURANGA, PWANI, Juni 30, 2026 – Shirika la Viwango Tanzania (TBS) Kanda ya Mashariki, inayohudumia mikoa ya Pwani, Morogoro na Tanga, limeteketeza...

JAMII YAHASWA KUWAKUMBUKA WAHITAJI

0
Wanachama wa AMO na DORCAS wa Kanisa la Waadventista Wasabato Ilala wamewataka Watanzania kujenga utamaduni wa kutembelea na kuwasaidia watoto wanaoishi katika mazingira magumu,...

RAIS SAMIA KUONGOZA TUZO ZA WALIPA KODI

0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya miaka 30 ya Mamlaka ya Mapato...

REA ZAMBIA YAHITIMISHA ZIARA YAKE NCHINI

0
📌Yapongeza Maendeleo ya Umeme Vijijini Viongozi wa Mamlaka ya Umeme Vijijini (REA) kutoka nchini Zambia leo Juni 29, 2026 wamehitimisha ziara yao ya Siku 9...

TBS KANDA MAALUM YA DAR ES SALAAM WATEKETEZA TANI 20 ZA BIDHAA ZA CHAKULA...

0
Na Mwandishi Wetu. SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) Kanda Maalum ya Dar es Salaam leo Juni 27, 2026 limeendelea na operesheni ya kuondoa bidhaa hafifu...

TRA KARIAKOO YAENDELEZA UWAJIBIKAJI KWA JAMII KUELEKEA TUZO ZA RAIS KWA WALIPAKODI NA MIAKA...

0
Kariakoo, 26 Juni 2026 Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Kariakoo imeendelea na maadhimisho ya miaka 30 ya TRA na maandalizi ya Tuzo za...

WAZIRI SANGU: SERIKALI ITAENDELEA KUONGEZA WIGO WA FURSA ZA AJIRA

0
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano, Mhe. Deus Sangu akizungumza wakati wa hafla ya kuwaaga vijana 400 wa...