DKT.JAFO AWAPAMBANIA MAAFISA MAENDELEO YA JAMII NCHINI
MBUNGE wa Kisarawe, Dkt. Selemani Jafo,akichangia hotuba ya Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum leo Juni 1,2026 bungeni jijini Dodoma.
......
MBUNGE...
RAIS MSTAAFU JAKAYA KIKWETE AWASILI UFARANSA KUONGOZA VIKAO VYA BODI YA GPE
Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete, amewasili leo nchini Ufaransa kwa ziara ya kikazi...
RC AWAITA WADAU KUCHANGIA UJENZI KCMC MOYO
Na Boniface Gideon, TANGA
Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Balozi Batilda Burian , amewataka Wakazi wa Mkoa wa Tanga kujitokeza kwa wingi kuchangia ujenzi wa Taasisi...
NAIBU WAZIRI KWAGILWA AZINDUA MAONESHO YA MAZINGIRA
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Reuben Kwagilwa akizindua maonesho ya mazingira katika Viwanja vya Jakaya Kikwete jijini Dodoma...
TANZANIA KUWA NA MKAKATI MAALUM WA MAWASILIANO WAKATI WA MLIPUKO WA MAGONJWA YA MIFUGO
Mkurugenzi wa Huduma za Mifugo wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi, Dkt. Benezeth Lutege, akizungumza wakati wa ufunguzi wa Warsha ya Uandaaji wa Rasimu...
WIPO YAUNGANA NA BRELA, COSTECH KUCHOCHEA MAPINDUZI YA KILIMO
NA EMMANUEL MBATILO, DAR ES SALAAM
SHIRIKA la Dunia la Haki Miliki (WIPO) kwa kushirikiana na Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), Tume...
RC BATILDA AUNDA TUME KUCHUNGUZA BOMOA BOA MSAKANGOTO
Na Boniface Gideon, TANGA
Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Dkt. Batilda Burian,ameunda tume maalum yenye wajumbe 6 kwaajili ya kuchunguza sakata la bomoa boa wa makazi...










