Friday, August 21, 2026
Home 2026 June 22

Daily Archives: June 22, 2026

MKUU WA TAASISI YA TEKNOLOJIA DAR ES SALAAM ( DIT ) AWATAKA WATUMISHI...

0
Na Mwandishi Wetu. Mkuu wa Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT), Profesa Preksedis Marco Ndomba, amewataka watumishi wa taasisi hiyo kuanza kutekeleza kikamilifu taratibu...

WAFUGAJI WAKOSHWA NA MPANGO WA STAKABADHI ZA GHALA SEKTA YA MIFUGO

0
Na Mwandishi Wetu WAFUGAJI nchini wamefurahishwa na mpango wa matumizi ya Mfumo wa Stakabadhi za Ghala kwenye sekta ya mifugo wakidai kuwa utaleta manufaa makubwa...

PERTERMS YAIBUKA MSHINDI JUKWAA LA KIMATAIFA LA UTAWALA BORA.

0
Katika hatua inayoonyesha kuongezeka kwa mchango wa wataalamu wa Kitanzania katika majukwaa ya Kimataifa kampeni ya Perterms Consultancy Limited imetangazwa mshindi wa mchango wa...

TANZANIA YAPATA SH. BILIONI 60.7 KUBORESHA HUDUMA ZA MAJI

0
Na.Alex Sonna-DODOMA Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imesaini mkataba wa msaada wenye thamani ya Euro milioni 20, sawa na Shilingi bilioni 60.7, kutoka...

DKT. ABBASI AFUNGUA KIKAO CHA PILI CHA BODI YA USIMAMIZI WA MRADI WA MAENDELEO...

0
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Hassan Abbasi akiwa na Mwenyekiti mwenza ambaye ni Naibu Balozi wa Finland Bw. Tomi Lounio,...

MWENYEKITI MPYA WA BODI YA USHAURI ADEM AONGOZA KIKAO CHAKE CHA KWANZA

0
📍Bagamoyo, Tanzania Mwenyekiti mpya wa Bodi ya Ushauri ya ADEM, Dkt. Hillary A. Dachi, amewasili rasmi chuoni hapo na kuongoza kikao chake cha kwanza tangu...

FCC YALENGA KUJENGA UTAMADUNI WA USHINDANI NA MATUMIZI SAHIHI YA BIDHAA

0
Tume ya Ushindani (FCC) imesema imeanza mpango wa kuanzisha klabu za elimu ya ushindani, ulinzi wa mlaji na udhibiti wa bidhaa bandia katika shule...

IAA KUWEKEZA KWENYE MITAALA KUENDANA NA DIRA YA TAIFA 2050

0
Meneja wa kampasi ya Dodoma ya Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA), Prof. Epaphra Manamba amesema katika kuendana na mahitaji ya Dira ya Taifa ya...