ARUSHA YAJIANDAA KUNUFAIKA NA AFCON 2027
Maandalizi ya kuelekea mashindano ya AFCON 2027 yanaendelea vizuri, huku Jiji la Arusha likijipanga kupokea wageni kutoka mataifa mbalimbali ya Afrika watakaowasili nchini kwa...
SIDO YAWAHIMIZA WAJASIRIAMALI KUPATA MAFUNZO KABLA YA KUWASILISHA BIDHAA TBS
Afisa wa Idara ya Masoko wa Shirika la Kuhudumia Viwanda Vidogo (SIDO), Antonia James Masoy, amewahimiza wajasiriamali kupata mafunzo rasmi yanayotolewa na SIDO kabla...
CBE YATOA UJUZI WA BIASHARA NA USAFIRISHAJI, YAFUNGUA FURSA ZA AJIRA
Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) kimeendelea kutoa mafunzo yanayolenga kuimarisha uwezo wa wajasiriamali na wataalamu wa sekta ya usafirishaji kupitia kozi fupi na...
FCC YAANZA MPANGO WA KLABU ZA USHINDANI MASHULENI
Tume ya Ushindani (FCC) imesema imeanza mpango wa kuanzisha klabu za elimu ya ushindani, ulinzi wa mlaji na udhibiti wa bidhaa bandia katika shule...
SERIKALI YATUMIA PPP KUCHOCHEA MIRADI MIKUBWA YA KIMKAKATI
Serikali imeendelea kutumia mfumo wa Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP), kama nyenzo muhimu ya kuharakisha utekelezaji wa miradi mikubwa...
WATAALAMU WAHIMIZA KUIMARISHWA KWA UMATAIFISHAJI WA ELIMU YA JUU TANZANIA
Vyuo vikuu nchini vinapaswa kuifanya agenda ya umataifishaji kuwa sehemu ya mikakati yake ya msingi kwa kuijumuisha katika ufundishaji, utafiti, ubunifu na huduma kwa...
TBS YAJIPANGA KIDIGITALI, YAIMARISHA MAABARA KWA SOKO LA DUNIA
Na.Alex Sonna-DODOMA
Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limepongezwa kwa mafanikio makubwa yaliyopatikana katika kipindi cha miaka 50 tangu kuanzishwa kwake, huku likitakiwa kuendelea kwenda sambamba...








