Monday, June 8, 2026
Home 2026 June 8

Daily Archives: June 8, 2026

MFUMO WA EMS KULETA UWAZI NA UFANISI KATIKA SOKO LA JUMLA LA FEDHA ZA KIGENI. 

0
Benki Kuu ya Tanzania (BoT) leo, tarehe 08 Juni 2026, imezindua Mfumo wa Kielektroniki wa Kuoanisha Miamala (Electronic Matching System – EMS) katika Soko...

TANZANIA YASHIRIKI JUKWAA LA UTALII, BIASHARA NA UWEKEZAJI KATI YA TANZANIA NA MISRI

0
Cairo, Misri, Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Dkt. Hassan Abbasi leo Juni 8, 2026 ameshiriki Ufunguzi wa Jukwaa la Utalii, Biashara na Uwekezaji...

VYAKULA VISIVYOONGEZWA VIRUTUBISHO VYAENDELEA KUCHANGIA WATOTO KUZALIWA NA MGONGO WAZI

0
Magrethy Katengu -MzawaediaDar es salaam Licha ya juhudi kubwa zinazofanywa na Serikali katika kupambana na magonjwa yanayotokana na ukosefu wa virutubisho mwilini, bado matumizi ya...

NeST YAKATAA MANUNUZI FEKI, TAKUKURU TANGA IKIOKOA MAMILION YA PESA

0
Na Boniface Gideon, TANGA Taasisi ya kupambambana na kuzuia Rushwa 'TAKUKURU' imefanikiwa kuokoa mamilion ya fedha yaliyokuwa kwenye mchakato wa upigaji kupitia ujenzi wa madarasa...

DC HANDENI AWAONYA WAFANYABIASHARA WAKWEPA KODI

0
Na Boniface Gideon,TANGA Mkuu wa Wilaya ya Handeni Salum Nyamwese ,amewaonya wafanyabiashara wanaokwepa kodi kwakutumia njia za panya maarufu kama njia za magendo ,Nyamwese amesema...

SERIKALI YAINGIA MAKUBALIANO YA USHIRIKIANO NA DIT KUIMARISHA USIMAMIZI WA MAAFA

0
Na, mwandishi wetu – Dar es Salaam SERIKALI kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) imeingia Makubaliano ya Ushirikiano (MoU) na...

WAZIRI MAVUNDE KUFUNGUA WIKI YA 11 YA UTAFITI NA UBUNIFU UDSM

0
NA EMMANUEL MBATILO, DAR ES SALAAM Waziri wa Madini, Anthony Mavunde, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika ufunguzi wa Maadhimisho ya 11 ya Wiki ya Utafiti...

TANZANIA NA URUSI KUSHIRIKIANA KATIKA KUENDELEZA UTAFITI WA MADINI

0
Tanzania imefanikiwa kufanya utafiti wa kina wa madini kwa asilimia 16 pekee, huku ikiendelea kutafuta ushirikiano wa kimataifa ili kuongeza eneo lililofanyiwa utafiti na...

MOROGORO YAPOKEA MWENGE WA UHURU 2026 MIRADI YA BILIONI 50.9 KUKAGULIWA

0
Mkoa wa Morogoro leo Juni 8, 2026 umepokea Mbio za Mwenge wa Uhuru 2026 ambazo zinatarajiwa kukimbizwa katika Halmashauri tisa za Mkoa huo kwa...

GCLA YASISITIZA UDHIBITI WA KEMIKALI HATARISHI

0
Mkemia Mkuu wa Serikali Dkt. Fidelice Mafumiko, akizungumza wakati akifungamkutano Mkuu wa mwaka wa Wakaguzi wa Kemikali na Maabara za Kemia(hawapo pichani), mkutano huo...