KCMC YAPATA TIBA MIONZI: SERIKALI YAWEKEZA BILIONI 5.5 KUSOGEZA HUDUMA ZA SARATANI KARIBU NA...
Na John Mapepele, WAF – Kilimanjaro
Tanzania imeandika ukurasa mpya katika mapambano dhidi ya saratani baada ya Serikali kuzindua rasmi Jengo la Tiba Mionzi katika...
REA ZAMBIA YAPONGEZA UBORA WA MIRADI YA UMEME VIJIJINI TANZANIA
Mamlaka ya Umeme Vijijini (REA) kutoka nchini Zambia yapongeza utekelezaji wa miradi ya umeme vijijini inayotekelezwa na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
SERIKALI NA BENKI YA UWEKEZAJI YA ULAYA WAHARAKISHA MIKATABA YA MIRADI YA MAJI NA...
Serikali kupitia Wizara ya Fedha na Benki ya Uwekezaji ya Ulaya (EIB) zimekubaliana kuharakisha hatua za kukamilisha mikataba ya ufadhili wa Mradi wa Maji...
RC DODOMA: HALMASHAURI ZIENDANE NA KASI YA WAWEKEZAJI KUCHOCHEA UCHUMI
Na.Alex Sonna-DODOMA
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule, amezindua rasmi ofisi za kampuni ya Landmax Real Estate Company Limited na kuzitaka Halmashauri pamoja na...
WRRB YAANZA KUTEKELEZA MAAGIZO YA WAZIRI MKUU KUONGEZA UFANISI WA STAKABADHI ZA GHALA
Bodi ya Usimamizi wa Mfumo wa Stakabadhi za Ghala (WRRB) imeanza rasmi utekelezaji wa maagizo yaliyotolewa na Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, ya kuimarisha...
DAWASA YAANIKA MIKAKATI YA UBORESHAJI WA HUDUMA YA MAJI HALMASHAURI YA CHALINZE
Meneja wa Mkoa wa Chalinze wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA), Mhandisi Boniface Philemon, amesema mamlaka hiyo inaendelea...
TASAC na ZMA Waongeza Juhudi za Kusimamia Haki na Usalama wa Mabaharia
Na Mwandishi Wetu, Kigoma
Serikali imesema itaendelea kuchukua hatua madhubuti za kisera na kiutendaji ili kuboresha ustawi wa mabaharia nchini, ikiwa ni pamoja na kulinda...
CHAPATI FESTIVAL KUFANYIKA NCHI NZIMA
Na Boniface Gideon, TANGA
Waandaaji wa mashindano makubwa ya kupika chapati mkoani Tanga maarufu kama 'CHAPATI FESTIVAL' msimu wa pili, Tanga Treasure Network pamoja na...











