Friday, August 21, 2026
Home 2026 June 23

Daily Archives: June 23, 2026

EWURA YAFUNGUA FURSA MPYA ZA BIASHARA YA MAFUTA VIJIJINI

0
Na Alex Sonna– Dodoma Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imeendelea kutoa elimu kwa wananchi kuhusu haki na wajibu wao katika...

KATIBU TAWALA ARUSHA APONGEZA MATUMIZI YA MFUMO WA SCADA KATIKA KUDHIBITI UPOTEVU WA MAFUTA

0
Dodoma Katibu Tawala wa Mkoa wa Arusha, Dkt. Toba Nguvila, amepongeza matumizi ya mfumo wa kisasa wa Supervisory Control and Data Acquisition (SCADA) unaotumiwa na...

WANANCHI WAASWA KUWA MAKINI DHIDI YA BIDHAA BANDIA SOKONI

0
Tume ya Ushindani Tanzania (FCC) imeendelea kuimarisha kampeni ya utoaji elimu kwa umma kuhusu madhara ya biashara ya bidhaa bandia, ikisisitiza kuwa utengenezaji, usambazaji...

MAFANIKIO YA TANZANIA KUFIKISHA UMEME VIJIJINI YAWAVUTIA REA ZAMBIA KUJA KUJIFUNZA

0
Mafanikio makubwa ya Tanzania katika usambazaji wa umeme Vijijini yameifanya kuwa kivutio cha kujifunza kwa baadhi ya nchi Barani Afrika, baada ya Wakala wa...

TBS YAAHIDI KUENDELEA KUBORESHA HUDUMA, YAWAKARIBISHA WANANCHI MAONESHONI

0
Meneja wa Shirika  la Viwango Tanzania (TBS) Kanda ya Kati, Hamisi Sudi Mwanasala,akizungumza na waandishi wa habari katika banda la TBS wakati wa  Maonesho...

TBS KANDA MAALUM YA DAR ES SALAAM WATEKETEZA TANI 110 ZA BIDHAA ZA RANGI...

0
Na Mwandishi Wetu. SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) Kanda Maalum ya Dar Es Salaam limeteketeza tani 110 za bidhaa hafifu na zilizopigwa marufuku zenye thamani...

TEA YATAKIWA KUONGEZA ELIMU KWA UMMA KUHUSU FURSA ZA MFUKO WA ELIMU WA TAIFA

0
Dodoma – Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) imetakiwa kuongeza juhudi katika kutoa elimu kwa umma na wadau mbalimbali kuhusu namna Mfuko wa Elimu wa...