Friday, July 17, 2026
Home 2026 June

Monthly Archives: June 2026

NAIBU WAZIRI MKAMA AKAGUA UBUNIFU MAONESHO YA SIKU YA MAZINGIRA

0
Naibu Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Dkt. Switbert Mkama akipata maelezo mbalimbali wakati akitembelea banda la Ofisi ya Makamu wa...

BEI YA PETROLI YASHUKA, SERIKALI YAWEKA RUZUKU KWENYE DIZELI

0
Watumiaji wa petroli wamepata afueni mwezi Juni 2026 baada ya bei ya mafuta hayo kushuka ikilinganishwa na mwezi uliopita. Kwa Dar es Salaam, petroli...

VIWANGO BUSINESS FORUM KUFANYIKA JUNE, 05 , TBS WATOA UTARATIBU HUU .

0
 Na Mwandishi Wetu. Shirika la Viwango Tanzania limeandaa Jukwaa la Biashara la Viwango (Viwango Business Forum) litakalofanyika Juni 5, 2026 katika ukumbi wa Mlimani City,...

VIJANA WATAKIWA KUWA MABALOZI WA UHIFADHI WA MAZINGIRA NCHINI

0
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Masauni amesema vijana wanapaswa kutumia fursa zinazotolewa na Serikali...

JUKWAA LA BIASHARA LA VIWANGO KUFANYIKA JUNI 5 MLIMANI CITY

0
Shirika la Viwango Tanzania limeandaa Jukwaa la Biashara la Viwango (Viwango Business Forum) litakalofanyika Juni 5, 2026 katika ukumbi wa Mlimani City, jijini Dar...

TANZANIA YASHIRIKI KIKAO CHA KAMATI YA UTEKELEZAJI WA VIWANGO VYA KAZI, GENEVA

0
Jaji wa Mahakama ya Rufani, Mhe. Dkt. Yose Joseph Mlyambina akifuatilia agenda mbalimbali zilizokuwa zinawasilishwa katika kikao cha Kamati ya Utekelezaji wa Viwango vya...

WIZARA YA ELIMU YAENDELEA KUKUZA UBORA WA ELIMU KUPITIA MASHINDANO YA WALIMU

0
Na.Alex Sonna-DODOMA Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imetangaza kuwa jumla ya walimu 3,153 wamejisajili kushiriki Shindano la Taifa la Nne la Stadi za Ufundishaji...

MAHAKAMA KUU YAWAFUNGA MAISHA WATUHUMIWA WA HEROIN

0
Mahakama Kuu ya Tanzania, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, imewahukumu kifungo cha maisha jela Suleiman Thabit Ngulangwa na Farid Hamis Said...

TANZANIA YASHIRIKI KIKAO CHA KAMATI YA UTEKELEZAJI WA VIWANGO VYA KAZI, GENEVA

0
Na: OWM (KAM) Tanzania imeshiriki kikao cha Kamati ya Utekelezaji wa Viwango vya Kazi kinachoendelea jijini Geneva, Uswisi, ikiwa ni sehemu ya Mkutano Mkuu wa...

SERIKALI KUSHIRIKIANA NA TAASISI ZA DINI KUIMARISHA MAADILI JAMII

0
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano Mhe. Deus Sangu amesema Serikali itaendelea kushirikiana na Taasisi za Dini nchini...