DAWASA YAANIKA MIKAKATI YA UBORESHAJI WA HUDUMA YA MAJI HALMASHAURI YA CHALINZE
Meneja wa Mkoa wa Chalinze wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA), Mhandisi Boniface Philemon, amesema mamlaka hiyo inaendelea...
TASAC na ZMA Waongeza Juhudi za Kusimamia Haki na Usalama wa Mabaharia
Na Mwandishi Wetu, Kigoma
Serikali imesema itaendelea kuchukua hatua madhubuti za kisera na kiutendaji ili kuboresha ustawi wa mabaharia nchini, ikiwa ni pamoja na kulinda...
CHAPATI FESTIVAL KUFANYIKA NCHI NZIMA
Na Boniface Gideon, TANGA
Waandaaji wa mashindano makubwa ya kupika chapati mkoani Tanga maarufu kama 'CHAPATI FESTIVAL' msimu wa pili, Tanga Treasure Network pamoja na...
EWURA YAFUNGUA FURSA MPYA ZA BIASHARA YA MAFUTA VIJIJINI
Na Alex Sonna– Dodoma
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imeendelea kutoa elimu kwa wananchi kuhusu haki na wajibu wao katika...
KATIBU TAWALA ARUSHA APONGEZA MATUMIZI YA MFUMO WA SCADA KATIKA KUDHIBITI UPOTEVU WA MAFUTA
Dodoma
Katibu Tawala wa Mkoa wa Arusha, Dkt. Toba Nguvila, amepongeza matumizi ya mfumo wa kisasa wa Supervisory Control and Data Acquisition (SCADA) unaotumiwa na...
WANANCHI WAASWA KUWA MAKINI DHIDI YA BIDHAA BANDIA SOKONI
Tume ya Ushindani Tanzania (FCC) imeendelea kuimarisha kampeni ya utoaji elimu kwa umma kuhusu madhara ya biashara ya bidhaa bandia, ikisisitiza kuwa utengenezaji, usambazaji...
MAFANIKIO YA TANZANIA KUFIKISHA UMEME VIJIJINI YAWAVUTIA REA ZAMBIA KUJA KUJIFUNZA
Mafanikio makubwa ya Tanzania katika usambazaji wa umeme Vijijini yameifanya kuwa kivutio cha kujifunza kwa baadhi ya nchi Barani Afrika, baada ya Wakala wa...
TBS YAAHIDI KUENDELEA KUBORESHA HUDUMA, YAWAKARIBISHA WANANCHI MAONESHONI
Meneja wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS) Kanda ya Kati, Hamisi Sudi Mwanasala,akizungumza na waandishi wa habari katika banda la TBS wakati wa Maonesho...
TBS KANDA MAALUM YA DAR ES SALAAM WATEKETEZA TANI 110 ZA BIDHAA ZA RANGI...
Na Mwandishi Wetu.
SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) Kanda Maalum ya Dar Es Salaam limeteketeza tani 110 za bidhaa hafifu na zilizopigwa marufuku zenye thamani...
TEA YATAKIWA KUONGEZA ELIMU KWA UMMA KUHUSU FURSA ZA MFUKO WA ELIMU WA TAIFA
Dodoma – Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) imetakiwa kuongeza juhudi katika kutoa elimu kwa umma na wadau mbalimbali kuhusu namna Mfuko wa Elimu wa...













