Home Kitaifa WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AMEHUDHURIA UFUNGUZI WA MKUTANO WA TICAD 8

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AMEHUDHURIA UFUNGUZI WA MKUTANO WA TICAD 8

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Agosti 27, 2022 amehudhuria ufunguzi wa Mkutano wa Nane wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Kimataifa kuhusu Maendeleo ya Japan na Afrika (TICAD 8) unaoendelea katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Palais des Congres mjini Tunis,Tunisia.

Akiwasili katika mkutano huo, Mheshimiwa Majaliwa alipokelewa na Rais wa Tunisia Kais Saied. Waziri Mkuu anamwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan kwenye mkutano huo.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here
Captcha verification failed!
CAPTCHA user score failed. Please contact us!