LUSHOTO YAPATA KITUO KIPYA CHA POLISI BAADA YA MIAKA 193.
Na Boniface Gideon, LUSHOTO
KITUO Cha Polisi Cha Kwanza kujengwa Nchini Tanzania Kilikuwa Wilayani Lushoto Mkoani Tanga ilikuwa ni mwaka 1829 na mpaka Leo hii...
UBALOZI WA TANZANIA NCHINI NIGERIA, UMETUNUKIWA TUZO
Ubalozi wa Tanzania nchini Nigeria, umetunukiwa tuzo katika maonesho ya Kumi na Tano ya 15 ya Sanaa (15th International Arts and Crafts Expo) yaliyofanyika...
MCHUNGAJI MWAMPOSA ‘BULLDOZER’ AWEKA WAZI KUHUSU SENSA AWATAKA WANANCHI KUJITOKEZA KUHESABIWA
Mchungaji na Nabii wa kanisa la Arise and Shine nchini Tanzania Apostle Boniface Mwamposa Bulldozer ameweka bayana utayari wake katika zoezi la kuhesabiwa kupitia...
VIONGOZI WA DINI YA KIISLAM NCHINI WAELEZA DHANA YA SENSA NA KUWATAKA WANANCHI KUJITOKEZA...
Viongozi wa dini ya kiislam nchini wameungana na serikali pamoja na Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan katika kuunga mkono zoezi la Sensa ya watu...
MWENYEKITI WA CHAMA CHA TLP, AUGUSTINO LYATONGA MREMA AFARIKI DUNIA
Na Mwandishi wetu Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa chama cha TLP, Augustino Lyatonga Mrema (77) amefariki duninia leo Jumapili, Agost 21, 2022, saa 12.15 asubuhi,...








