Saturday, June 27, 2026
Home 2022 August 29

Daily Archives: August 29, 2022

MAUDHUI YASIYOENDANA NA MAADILI YA KITANZANIA.

0
Imetolewa na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Dkt. Jabiri Bakari, Tarehe 29 Agosti, 2022.

ZOEZI LA SENSA ASILIMIA 93.45 ZA KAYA ZILIZOHESABIWA

0
Na Magrethy Katengu Zoezi la Sensa kuanzia 23hadi 29 Agosti mwaka huu limefanikiwa kwa kiasi kikubwa kufikia asilimia kaya 93.45% zimehesabiwa huku asilimia 6.55% bado...

PSPTBs;WASIOSAJILIWA MARUFUKU KUFANYA KAZI ZA MANUNUZI NA UGAVI asiosajiliwa

0
Na Magrethy Katengu Bodi ya Umma Manunuzi na Ugavi imewapiga marufuku Wataalamu wanaofanya kazi za Manunuzi na Ugavi za serikali ikiwa hawajasajiliwa na yeyote atakayebainika...

BENKI YA MWANGA HAKIKA YAFANYA TUKIO HILI KUBWA NA WANAHISA MKOANI KILIMANJARO .

0
Mhe.Cleopa Msuya (Waziri mkuu mstaafu, mshauri na mwanahisa wa benki ya Mwanga Hakika) akizungumza na wanahisa kwenye mkutano mkuu wa pili uliofanyika 27-08-2022 Wilayani...

TANZANIA YAWASILISHA MIRADI MINANE TICAD-MAJALIWA

0
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali ya Tanzania imewasilisha miradi minane yenye thamani ya dola za Marekani bilioni 1.334 katika Mkutano wa Nane wa...

KILA KAYA INATAKIWA KUWA NA CHOO BORA KUEPUKA KIPINDUPINDU

0
Na. Majid Abdulkarim, WAF Waziri wa Afya, Mhe Ummy Mwalimu amewataka Wakuu wa Mikoa na Wilaya kuhakikisha kila kaya inakuwa na choo bora na kuzingatia...

AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MIAKA MITANO JELA KWA KUKUTWA NA HATIA YA UCHAWI WILAYANI LUDEWA.

0
Leo Agosti 29, 2022 Mahakama ya Wilaya ya Ludewa imemtia hatiani mtu mmoja anae julikana kwa majina ya John Sevelini Chale (60) Mkazi wa...

HALMASHAURI YA JIJI LA TANGA YAONGEZA NGUVU UTEKELEZAJI WA MIRADI YA KIMKAKATI

0
Halmashauri ya Jiji la Tanga imesema kwa Mwaka wa Fedha 2022/2023 inatarajia kuongeza nguvu za Utekelezaji wa Miradi ya Kimkakati ya Jiji ikiwamo Ujenzi...