RAIS SAMIA AAGIZA KUJENGWA SEHEMU YA MALEZI YA WATOTO SOKO KUU NJOMBE
NA OR-TAMISEMI
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Samia Suluhu Hassan ameagiza sehemu ya malezi ya watoto kujengwa katika Soko Kuu la Njombe Mji...
KATIBU MKUU WIZARA YA MAJI AKUTANA NA WAJUMBE KUTOKA ZANZIBAR.
Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Mhandisi Anthony Sanga amesema Wizara ya Maji itaendelea kushirikiana kwa karibu na Wizara ya Maji, Nishati na Madini ya...
VIWANJA VITANO KUTOTUMIKA MECHI ZA LIGI KUU (NBC PREMIER LEAGUE)
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limesimamisha viwanja vitano kutumika kwenye mechi za Ligi Kuu ya NBC kwa kutokidhi vigezo wakati vingine vitatu...
JUHUDI ZAIDI ZINAHITAJIKA KATIKA KUKUZA SOKA AFRIKA-RAIS SAMIA
MHESHIMIWA Rais Samia Suluhu Hassan amesema Bara la Afrika linahitaji kuongeza juhudi zaidi kwa kuongeza jitihada mbalimbali zitakazoendeleza mpira wa miguu.
Kauli hiyo imetolewa na...
KLABU YA YANGA YAUNDA KAMATI MAALUMU YA MASHINDANO
Rais wa Klabu ya Yanga Eng. Hersi Ally Said kwa kushirikiana na Kamati ya Utendaji wameunda Kamati maalum ya mashindano ya watu 8 ambayo...
MHE.MAJALIWA AFUNGUA MKUTANO MKUU WA 44 WA CAF.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa leo Agosti 10, 2022 amefungua Mkutano Mkuu wa 44 wa kawaida wa...









