Saturday, June 27, 2026
Home 2022 September

Monthly Archives: September 2022

MRAMBA: SERIKALI HAITOACHA SOKO LA TANZANIA LIWE DAMPO LA BIDHAA ZISIZO NA UBORA

0
Mkurugenzi wa Maendeleo ya Biashara Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara Bw. Christopher Mramba amewashauri wafanyabiashara kuzingatia sheria na kuendelea kujenga utamaduni wakuzingatia masharti...

DKT. KIJAJI ATOA WITO KWA WATANZANIA KUTOA MAONI MABORESHO YA SHERIA MPYA YA UWEKEZAJI

0
Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) ametoa wito kwa watanzania kutoa maoni kuhusu maboresho ya Sheria mpya ya Uwekezaji. Ameyasema...

VIONGOZI WALIOTUMIA VIBAYA FEDHA ZA LISHE WACHUKULIWE HATUA

0
Angela Msimbira, TAMISEMI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amemuagiza Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na...

TANZANIA AGROBUSINESS WINDOW YAZIPATIA FEDHA KAMPUNI 50 ZINAZOJIHUSISHA NA KILIMO NCHINI TANZANIA

0
Na Magreth Mbinga Mradi wa Tanzania Agrobusiness Window umeweza kupatia fedha kampuni 50 ambazo zinajishughulisha na maswala ya kilimo hapa Nchini ambapo mradi huo unalenga...

RIDHIWAN KIKWETE APOKEA MSAADA WA VITANDA VYA WAGONJWA NA DARUBINI

0
Mbunge wa Jimbo la Chalinze na Naibu Waziri wa Ardhi Mhe. Ridhiwan Kikwete amepokea Vitanda vya Wagonjwa kutoka Shirika la Lion Club kwa ajili...

MAELFU WAMZIKA MASANCHE, KATAMBI AMLILIA

0
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana na Wenye Ulemavu ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Shinyanga Mjini, Mheshimiwa Patrobas Katambi ameongoza...

TRC YAZINDUA MAFUNZO KWA VITENDO, YATOLEWA NA WATAALAM KUTOKA KOREA..

0
Na Magrethy Katengu Shirika la reli Tanzania - TRC limezindua mafunzo kwa vitendo kwa watendaji wa TRC yatakayotolewa na wataalamu kumi na watano (15) kutoka...

JOKATE AKABIDHI PIKIPIKI KWA MAMA ALIYEJIFUNGUA WATOTO WANNE

0
Mkuu wa Wilaya ya Temeke Jokate Mwegelo leo amekabidhi Pikipiki aina ya Boxer kwa Mwanamama Fatuma ambaye alijifungua watoto wanne kwa wakati mmoja. Akizungumza na...

DKT. KIJAJI: MPANGO WA SERIKALI WA KUBORESHA MAZINGIRA YA BIASHARA UNAENDELEA

0
Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mhe. Dkt.Ashatu Kijaji amesema Serikali inaendelea kutekeleza Mpango wa Kuboresha Mazingira ya Biashara nchini (Blueprint) ili kuvutia uwekezaji...

PROF.JAMAL AFUNGUA KIKAO KAZI CHA WADAU KUPITIA NYARAKA ZA STADI ZA MAISHA KWA VIJANA...

0
Na: Mwandishi Wetu – Dodoma Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu Prof. Jamal Katundu amefungua kikao kazi...