AGIZO LA UWEZESHAJI WANANCHI KIUCHUMI LIMETEKELEZWA KWA VITENDO UNGUJA NA PEMBA
Agizo la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi limetekelezwa kwa Vitendo Unguja na Pemba
Ameyasema hayo Waziri wa Nchi, Afisi ya Rais Kazi, Uchumi na Uwekezaji, Mhe Mudrik...
WAZIRI MKENDA NA WAZIRI WA ELIMU ZANZIBAR WAPOKEA TAARIFA YA AWALI YA MAENDELEO YA...
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe Prof Adolf Mkenda pamoja na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe Lela Mohamed Leo...
WENYEVITI KAMATI ZA ULINZI NA USALAMA WAPEWA SOMO URASIMISHAJI SILAHA
Na, Mwandishi wetu Tanga.
Wenyeviti wa kamati za ulinzi na usalama ambao pia ni wakuu wa wilaya ndani mkoa wa Tanga wametakiwa kuendelea kuratibu...
UWANJA WA MPIRA WA BASHUNGWA WAANZA KUJENGWA, TAA ZA BARABARANI ZINAENDELEA KUFUNGWA KARAGWE.
OR-TAMISEMI
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI) Mhe. Innocent Bashungwa amewahakikishia wananchi wa Wilaya Karagwe kuwa atahakikisha anatimiza...
WAZIRI MKENDA AZINDUA TUZO YA TAIFA YA MWALIMU NYERERE YA UANDISHI BUNIFU
Na Magrethy Katengu
Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Profesa Adlof Mkenda amesema hali ya uchapaji na usambazaji wa vitabu inaukai sana hivyo Serikali kuanzia...
RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AFUNGUA MKUTANO WA SIKU TATU WA AFCTA WA WANAWAKE KUTOKA...
Na Magrethy Katengu
RAIS Samia Suluhu Hassan amesema nchi za Afrika zinapaswa kuwekeza katika rasilimali watu hususan elimu kwa vijana ili kuwa na maendeleo endelevu...
MCHENGERWA AUNGANA NA TWAHA KIDUKU PAMBANO LA UBABE UBABE-2
KUELEKEA pambano la Kitaifa kati ya Twaha Kiduku na Bondia kutoka Misri Abdo Khaled wanamichezo hususani mchezo wa Masumbwi wametakiwa kuvunja matabaka na kuungana...
WANAWAKE LAKI MOJA WAJA NA FURSA YA UTALII KWA WANAWAKE
Na Magreth Mbinga
Taasisi binafsi ya Wanawake lakimoja wanataraji kufanya kongamano kubwa la Wanawakebna utalii ambalo linalenga kutoa fursa kwa wanawake .
Hayo yamezungumzwa na Mwenyekiti...
WAZIRI MCHENGERWA AJIUNGA RASMI NA KLABU YA JESHI LUGALO GOFU
Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo Mohammed Mchengerwa amekabidhiwa rasmi kadi ya uwanachama wa Klabu ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania ya...













