Saturday, June 27, 2026
Home 2022 September 15

Daily Archives: September 15, 2022

MRADI WA MAJI WA KITELEWASI-LUNDAMATWE WAENDELEA KUWA FARAJA KWA WANANCHI WA KILOLO,MKOANI IRINGA.

0
Mradi huu wenye thamani ya zaidi ya Shilingi milioni 788 zilizotoka Mfuko wa Taifa wa Maji (National Water Fund - NWF) umemaliza kero ya...

MIFUGO VAMIZI CHANGAMOTO YA UHIFADHI NCHINI.

0
Na.Mwandishi wetu-IRINGA Bodi ya Wadhamini ya Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA),tarehe 14 Septemba 2022 imefanya ziara ya kutembelea Hifadhi ya Taifa Ruaha mkoani...

TANZANIA YAOMBWA KUCHANGIA MFUKO WA GLOBAL FUND

0
Na Magreth Mbinga Kila mwaka kuna vifo zaidi ya elfu sabini na mbili ambavyo vinasababishwa na ugonjwa wa Maralia mfuko wa Global fund unatoa pesa...

RAIS SAMIA AMEDHAMIRIA KUTATUA CHANGAMOTO ZA WAFANYAKAZI NCHINI–WAZIRI NDALICHAKO

0
Na: Mwandishi Wetu - Dodoma Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Prof. Joyce Ndalichako amesema Serikali...

IDARA YA MICHEZO YAPEWA SIKU 7 KUKAMILISHA NYARAKA ZA MIRADI.

0
Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Hassan Abbasi, ametoa siku 7 kwa watendaji wa Idara ya Michezo kukamilisha nyaraka za...

DKT.ABBASI:TANZANIA MWENYEJI MKUTANO WA MUSIC IN AFRICA

0
Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Hassan Abbasi leo Septemba 15, 2022 amekutana na kufanya mazungumzo na wawakilishi wa Taasisi ya...

KALAMU YA RAIS SAMIA: SASA NI WAKATI WA KUSIMAMA NA MISINGI YA KIDEMOKRASIA

0
Katika kuazimisha siku ya Demokrasia duniani, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan ameandika Makala yenye kubeba ujumbe na mwelekeo...

TANZANIA NA JAMHURI YA KIDEMOKRASIA YA KONGO ZAWEKEANA SAINI MAKUBALIANO YA KUBORESHA SEKTA YA...

0
Na Magrethy Katengu Tanzania yawekeana Saini na nchi Jamhuri ya Kidemokrsai ya Kongo(DR CONGO) katika Makubaliano ya ushirikiano wa kuboresha sekta ya ulinzi ikiwa ni...

MHE.SORAGA ASHIRIKI KONGAMANO LA KUWAVUTIA WAWEKEZAJI WA MITAJI BINAFSI.

0
Waziri wa Nchi Afisi ya Rais - Kazi, Uchumi na Uwekezaji,Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mhe. Mudrik Ramadhan Soraga Ameshiriki katika kongamano la majadiliano ya...

NMB YAZINDUA TAWI JIPYA JIJINI TANGA

0
Na Boniface Gideon, TANGA BENKI ya NMB imezindua Tawi Jipya lililopo Katikati mwa Jiji la Tanga kata ya Majengo na kupewa jina la NMB...