Saturday, June 27, 2026
Home 2022 September 21

Daily Archives: September 21, 2022

MAJALIWA: VIASHIRIA VYOTE VYA UVUNJIFU WA AMANI VIDHIBITIWE

0
Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa amewataka watendaji wote Serikalini kuweka mkakati wa kudhibiti viashiria vyote vya uvunjifu wa amani katika maeneo yao. Mheshimiwa Majaliwa amesema...

WATANZANIA WATAKIWA KUPANDA MITI KULINDA IKOLOJIA NCHINI

0
Na Mwandishi wetu BALOZI wa kujitolea wa Mazingira nchini Moses Mwakibolwa kutoka kampuni ya Orbit Environmental Consultancy ametoa wito kwa Watanzania kujenga tabia ya kupanga...

VIASHIRIA VYOTE VYA UVUNJIFU WA AMANI VIDHIBITIWE-MAJALIWA

0
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka watendaji wote Serikalini kuweka mkakati wa kudhibiti viashiria vyote vya uvunjifu wa amani katika maeneo yao. Mheshimiwa Majaliwa amesema lengo...

SERIKALI YAELEKEZA KIWANDA KUTATUA CHANGAMOTO YA KIMAZINGIRA

0
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe.Khamis Hamza Khamis ameelekeza kiwanda cha nguo cha A to Z kilichpo mkoani Arusha...

SERIKALI IMETENGA BIL 100 UJENZI WA VETA NCHINI-WAZIRI MKENDA

0
Na Mathias Canal, WEST-Dodoma Serikali inayo azma ya kujenga Chuo cha Ufundi Stadi katika kila Mkoa na Wilaya nchini. Katika mwaka huu wa fedha 2022/2023,...

WAKAZI 3,500 KUNUFAIKA NA MRADI WA MAJI KALAELA WILAYA YA KALAMBO

0
Na. OMM RukwaWakala wa Majisafi na Usafi wa Mazingia Vijijini (RUWASA) mkoa wa Rukwa imefanikisha upatikanaji wa majisafi na salama karibu na na wananchi...

SMZ KUSAINI MAKUBALIANO NA WAWEKEZAJI KISIWA CHA MNEMBA-Mhe. SORAGA

0
Ameyasema hayo Waziri wa Nchi - Afisi ya Rais, Kazi, Uchumi na Uwekezaji Mhe. Mudrik Ramadhan Soraga wakati akitoa taarifa fupi ya mwenendo wa...

WAZIRI MKUU AZINDUA MPANGO KABAMBE WA SEKTA YA UVUVI*Asema mpango huo utakuwa chachu ya...

0
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema utekelezaji wa Mpango Kabambe wa Sekta ya Uvuvi utasaidia kukuza sekta hiyo na kuongeza mchango wake katika Pato la...

WAZIRI MKUU AZINDUA MPANGO KABAMBE WA SEKTA YA UVUVI

0
*Asema mpango huo utakuwa chachu ya kuendeleza ukuaji wa uchumi wa buluu. WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema utekelezaji wa Mpango Kabambe wa Sekta ya Uvuvi...