RSA YAMSHUKURU RAIS SAMIA FILAMU YA ROYAL TOUR KULETA NEEMA SEKTA YA UTALII...
Na.Elizabeth John,Njombe
Mkurugenzi wa kampuni ya RSA inayojihusisha na utengenezaji magari ya utalii Harveer Bhamra,amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kufanya Royal Tour ambayo...
BASHUNGWA AONYA HALMASHAURI ZINAZOVUKA NA FEDHA MWAKA MWINGINE.
Angela Msimbira MANYARA
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Innocent Bashungwa amepiga marufuku Halmashauri zote nchini kuacha...
DKT INTERNATIONAL WAADHIMISHA SIKU YA UZAZI WA MPANGO DUNIANI KATIKA HOSPITALI YA MBAGALA RANGI...
Na Magreth Mbinga
Maadhimisho ya siku ya uzazi wa mpango ni muhimu sana kwa Serikali sababu maisha ni kujipanga kutokana na malengo uliyojiwekea kwahiyo elimu...
BASHUNGWA AMVAA MKANDARASI WA STENDI YA KATESH – HANANG
OR TAMISEMI
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhe. Innocent Bashungwa amesema hajaridhishwa na kasi ya...
JAPAN KUNUNUA KILO MILIONI 30 ZA TUMBAKU TANZANIA
KAMPUNI ya Japan Tobacco Incorporation (JTI) imeahidi kununua kilo milioni 30 za tumbaku kutoka kwa wakulima wa Tanzania katika msimu ujao wa kilimo.
Ahadi hiyo...
WANANCHI WA SELUKA NA NYABU WAAHIDIWA KUCHIMBIWA KISIMA CHA MAJI
Na Mwandishi wetu
Serikali kupitia Wizara ya Maji imeahidi kuchimba kisima na kujenga tenki la maji kwa wananchi wa kijiji cha Nyabu na Seluka katika...
MHE.AWESO AWAPA SIKU 30 RUWASA KUKAMILISHA MRADI WA MAJI KIJIJI CHA WIYENZELE.
Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso ((Mb) ametembelea mradi wa maji wa kijiji cha Wiyenzele Wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma na kumuagiza Meneja wa...
IDADI YA VISIWA VINAVYOKODISHWA ZANZIBAR YAFIKIA KUMI NA SABA(17)- MHE.SORAGA
Hayo yamebainishwa na Waziri wa Nchi Afisi ya Rais – Kazi, Uchumi na Uwekezaji Mudrik Ramadhan Soraga wakati akijibu swali la mwakilishi wa Jimbo...
MAKAMU WA RAIS: SERIKALI INATHAMINI MCHANGO WA MADHEHEBU YOTE YA DINI
Imeelezwa kuwa, Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayoongozwa na Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan inathamini mchango wa Madhehebu ya dini kupitia mahubiri...
BASHUNGWA AWASILI MANYARA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhe. Innocent Bashungwa leo Septemba 26, 2022 amewasili Mkoani Manyara...













